Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakazi wa Musoma Mjini wamuomba Prof Sospeter Muhongo kugombea ubunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Sep 27, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,099
  Likes Received: 4,202
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Wanabodi..

  Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ambaye ni kada wa chama cha mapinduzi CCM ameombwa na wakazi Musoma Mjini kugombea ubunge jimboni humo mwaka 2015.

  Profesa Sospeter Muhongo, ni msomi na mzaliwa wa Musoma Mjini wakazi wa mkoa Mara wanasema wakati umefika wa kumpa ubunge Profesa Muhongo, kutokana na elimu yake pamoja na uzoefu wake ili hawatumikie wananchi wa Mkoa wa Mara.

  Jimbo la Musoma Mjini kwa sasa linaongozwa na chama cha Chadema kupitia mbunge wake Vicent Nyerere.

  Wakazi wengi wa Musoma Mjini wanaoneka kumkubali zaidi Prof Muhongo, kutoka utendaji wake wake katika Wizara ya Nishati na Madini..

  [​IMG]
   

  Attached Files:

  • muho.jpg
   muho.jpg
   File size:
   63.8 KB
   Views:
   729
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,105
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280

  Msiwe na tegemeo kuwa ataendelea kupata uwaziri baada ya kuwa mbunge wenu nyie wakurya; mfahamu kuwa baada ya katiba mpya kuanza kutumika baada ya uchaguzi wa 2015 ,mawaziri hawatatokana na wabunge tena!!! Huyu Muhongo ameweza kufanya anayofanya kwasababu hana bugudha za jimbo la uchaguzi!!!
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 5,824
  Likes Received: 1,832
  Trophy Points: 280
  Hizi habari umezitoa wapi?
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,873
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wakazi hao walimuombaje mkuu?
  Walipiga kura za maoni au wote kwa pamoja walipaza sauti zao "Tunakuomba Muhogo ugombee Ubungeeee..."
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,957
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa lini?
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,106
  Likes Received: 7,176
  Trophy Points: 280
  unafikiri Profesa hajipendi?
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wewe ni msemaji wa hao wakazi?? Hii habari imekaa kimajungu majungu sana.
   
 8. M

  Mboko JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,060
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Gamba liko kazini zaidi hahahaha kafanya nini mpaka sasa sijaona zaidi ya kelele nyingi tu bila vitendo aaghhkk unanitia kichefuchefu kwani b4 awe waziri walikuwa hawamfahamu kama ni msomi thus why am saying The Gamba on duty
   
 9. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Mie kila siku nashinda hapa Kusaga na sijayasikia haya.tata wewe tata abhali hii ya achabu umeikwapulia wapi mura wane
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,099
  Likes Received: 4,202
  Trophy Points: 280
  Musoma Mjini maeneo ya Mkendo Kati.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,380
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Asije akawa kama yule Professor wa CUF ambaye amegombea kwa vipindi vinne huku kura zikipungua kila mwaka. akigombea tena 2015 inabidi alipwe pension yake ya kugombea
   
 12. K

  Kiyoya JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,127
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  kwani jamaa ni mura?sidhan kama ni rahis hivo
   
 13. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  MATOKEO YATAKUWA HIVI.....MUHONGO SOSPETER MUHONGO=CCM Kura 12,543, VICENT KIBOKO NYERERE=CHADEMA Kura 54,786.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,099
  Likes Received: 4,202
  Trophy Points: 280
  Mhe. Profesa Sospeter Muhongo, ni mzaliwa wa Musoma Mjini. Ana haki ya kugombea.
   
 15. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,038
  Likes Received: 7,583
  Trophy Points: 280
  musoma ipi unayoiongelea mkuu?? hii ninayoishi mimi au ya nyuma ya KEYBOARD??
   
 16. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,738
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  kila kukicha ni kupost upuuzi na majungu jf ...

  rumour monger
   
 17. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,038
  Likes Received: 7,583
  Trophy Points: 280
  Mukendo kati kwenye kile kijiwe cha kahwa karibu na "MAMA ESTER INN" au????
  chezea musoma weye hii ni level nyingine.............
   
 18. MWANAMTAA

  MWANAMTAA Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu mbona hiyo ni mpya umeipata wapi wewe what is ur source of info mkuu au ni kama wale wazee waliomuomba msamaha pinda kwa kuzomewa........wakidai that vijana hawana maadili...........wakasahau nao wazee hawana maadili............
   
 19. J

  Joachim Morgan Member

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Usimdanganye hawezi shinda atapoteza muda wake bure. Mimi ni mzaliwa wa hapo mjini nimesoma hapo kuanzia elimu ya msingi mpaka kidato cha 6 na ktk uchaguzi uliopita nilikuwa hapo hasipoteze muda kugombea kupitia CCM.
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,106
  Likes Received: 7,176
  Trophy Points: 280
  kwani uzaliwa haki ya kugombea wewe huoni kuwa ni vitu viwili tofauti..wote tunajua kuwa ana haki ya kugombea..unafikiri yeye hana akili timamu hadi ajazwe ujinga na wazee wachache wenye njaa na matumbo yao ambao wanajua akishapata watakula naye? ..let see ila lazima ataumbuka akijaribu wewe huijui usoma wewe
   
Loading...