Elections 2010 wakazi wa Mbeya vijijini nao wacharuka.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Nimeskia wakazi wa Mbeya vijijini wameandamana hadi Mbeya mjini kudai kuwa Mgombea ubunge wa CCM ambaye ametangazwa kuwa ni mshindi Hajashinda kihalali na FFU wanawatawanya kwa mabomu ya machozi.
Ikumbukwe: Vurugu za jana za mbeya ziliwahusu wananchi wa Mbeya mjini hizi za leo zinawahusu wa Mbeya vijijini ambao wameandamana hadi mbeya mjini.
Wadau mliopo Mbeya please, taarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom