Wakazi wa Kirando nisaidieni

jay jeff

New Member
Apr 16, 2023
1
0
Naomba usaidizi kwa wakaazi wa namenyere kirando na Nkasi nzima.

Mimi natokea Kenya. Nipo na jamaa mmoja kutoka eneo ilo niliyetaja niliyekutanishwa naye na Babu mmoja kutoka Holili.

Jamaa naona ni kama alinilaghai nilimpea hela anisaidie kufanya kazi fulani mwaka wa 2021 lakini hadi wa sasa hamna aliyotekeleza na ananikwepa na kunipea ahadi za uogo.

NAOMBA WAKAZI WA MAENEO HAYO WANAOWEZA KUNISAIDIA KUMPATA WAJE HAPA NIWAPE MAJINA NA NAMBARI ZAKE ZA SIMU. KWETU KENYA NI MBALI NA NKASI NA KUFIKA HUKO HATA SIJUI NITAMTAFUTA WAPI. NAWAOMBENI TAFADHALI
 
Ki

Kirando _ mtakuja , wapi wazee wa migebuka ? Mzee Moris tokea hapa msaidie mkenya wa watu wafipa washamuingiza mjini .

Parita =taitu
Aweningosile .
Pole sana ndugu .
 
Naomba usaidizi kwa wakaazi wa namenyere kirando na Nkasi nzima.

Mimi natokea Kenya. Nipo na jamaa mmoja kutoka eneo ilo niliyetaja niliyekutanishwa naye na Babu mmoja kutoka Holili.

Jamaa naona ni kama alinilaghai nilimpea hela anisaidie kufanya kazi fulani mwaka wa 2021 lakini hadi wa sasa hamna aliyotekeleza na ananikwepa na kunipea ahadi za uogo.

NAOMBA WAKAZI WA MAENEO HAYO WANAOWEZA KUNISAIDIA KUMPATA WAJE HAPA NIWAPE MAJINA NA NAMBARI ZAKE ZA SIMU. KWETU KENYA NI MBALI NA NKASI NA KUFIKA HUKO HATA SIJUI NITAMTAFUTA WAPI. NAWAOMBENI TAFADHALI
Kazi gani ulimpa akufanyie?
 
Nitafute namimi unisaidie jambo langu huko Kenya. +260972614170
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom