Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Tanganyika Kuwapatia Maji Safi Wakazi 40,000 Nkasi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,203
4,676
Mradi wa Maji wa Kirando upo Katika hatua za mwisho kukamilika

Utawapatia Maji Safi, Salama na uhakika wakazi 40,000 wa Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa

Matumizi sahihi ya Rasilimali huleta natokea Chanya kwetu sote
FB_IMG_16015353843784748.jpg
FB_IMG_16015353988229710.jpg
FB_IMG_16015353892902161.jpg
FB_IMG_16015353940692765.jpg
 
Baada ya mwaka mmoja utaona majibu ndugu , muda utasema tu.
Inabidi tuwe serious sana kwenye swala la maji ilipaswa huo mradi uwe na miundo misingi imara sana ili uweze kutoa maji kwa watu km ilivyokusudiwa. Nje ya hapo pesa, mda na nguvu za umma zitakua zimepotea tu.
 
Back
Top Bottom