Wakazi wa jimbo la Kinondoni

IBRAHIM UCHUNGU

New Member
May 1, 2012
2
1
Wakazi wa jimbo la kinondoni hatujapata mbunge makini toka mfumo wa vyama vingi uanzishe tulikua na Peter Kabisa, na sasa IDD AZAN wote hawaonesha kujali na kutatua matatizo ya wananchi kikamirifu kama, kufukia mifereji ya maji macha kule kinondoni shamba, kuondoa uchafu katika masoko ya Tndale, mwananyamala, makumbusho, kigogo na mburahiti, vilevile kinondoni iliwahi kutoa wanasoka bora kwenye viwanja vyake kama, magomni barafu, Hananasif-bakari malima, mwijuma tanzania one joseph katuba (marehemu) lakin kwa sasa hayo yamekwisha kutokana na kukosa mbunge makini nawaomba wana kinondon wezangu tuwe makini tunapofanya uchaguzi ujao tuache ushabiki wa vyama tumchague mbunge makini.
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Hata sisi Ilala ni kama tumemtafutia mtu mtaji wa kumpatia pesa ya matanuzi ! Hakuna maendeleo yoyote, hata ndugu zetu wa jagwani walipopata mafuriko huyu bwana hakunia mguu wake kuwapa pole! Hana fadhila wala msaada hata kidogo kwa wapiga kura wake
 
Jamani wana Kinondoni, next time chagueni watu kama kina Mnyika, hawa ccm sasa hivi wako kwa maslahi yao na sio kwa watu wa chini, Fungukeni jamani
 
Kinondoni Jimbo lililojaa mateja, makahaba, wezi, matapeli, wasanii, walevi, madanguro, Jimbo hilo siwezi kushangaa hata nikisikia Wema Sepetu ndiyo mbunge wao, maana hilo Jimbo wako tayari hata kuongozwa na Rais wa Ngwasuma, angalia hata Mbunge aliyopo sasa ni muuza unga maarufu hapa mjini.
Kinondoni!!.....pooooooooooh!!
 
Naunga mkono wazo, ukizingatia Kinondoni ndiyo tunabeba jina la Wilaya. Kwa kweli tunapaswa kubadilika wana wa Kinondoni, tunao watu makini ambao wanaweza kufanya mambo makubwa sana kuliko huyu jamaa. Ukizingatia sisi tupo mjini na ndipo tunahistoria ya kubwa ila tunashindwa kufanya mabadiliko ya nguvu. OUR TIME IS NOW wana Kinondoni Tufanye mabadiliko bila kuangalia rangi, dini au kabila.
 
Jimbo la makahaba wala unga ,wavivu wa mji ,kwa nje watu wake wako smart ila ukiwachunguza hakuna watu vilaza kama kinondoni.
 
Mimi ni Mkazi wa Mwenge na huwa napiga kura jimbo la Kinondoni, ukweli ilivyo jografia ya Kinondoni ni ngumu sana kushinda, nitakupa mfano hai, sisi wananchi wa jimbo la kinondoni tunaokaa mwenge, sinza na Kijitonyama tuliipa Chadema ushindi mkubwa sana sana, mfano kituo cha uchaguzi shule ya msingi MWENGE, unakuta chadema wana kura 400 CCM 50
Lkn tatizo kubwa ni ushazi, Magomeni, Kigogo Kinondoni shamba ambako kuna wapiga kura wengi sana, mfano kituo cha kigogo unakuta kuna vituo 62 ndani ya kimoja, ni tatizo,
Nimeamua ili nisipoteze kura yangu next time nitajiandikisha Ubungo au Kawe, Kinondoni pagumu kwa upinzani,
wananchi wanokaa uswazi ambao ni wengi sana sana huwa wanatuangusha sana sisi wapiga kura wa Mwenge, Kijitonyama na Africasana na baadhi ya maeneo ya Sinza
 
Kinondoni Jimbo lililojaa mateja, makahaba, wezi,matapeli, wasanii, walevi, madanguro,mashoga Jimbo hilo siwezi kushangaa hata nikisikia Wema Sepetu ndiyo mbunge wao, maana hilo Jimbo wako tayari hata kuongozwa na Rais wa Ngwasuma,angalia hata Mbunge aliyopo sasa ni muuza unga maarufu hapa mjini.
Kinondoni!!.....pooooooooooh!!
Mbunge wa KINO tafadhali toa ufafanuzi haya mambo nimazito saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
Kinondoni Jimbo lililojaa mateja, makahaba, wezi, matapeli, wasanii, walevi, madanguro, Jimbo hilo siwezi kushangaa hata nikisikia Wema Sepetu ndiyo mbunge wao, maana hilo Jimbo wako tayari hata kuongozwa na Rais wa Ngwasuma, angalia hata Mbunge aliyopo sasa ni muuza unga maarufu hapa mjini.
Kinondoni!!.....pooooooooooh!!

Kinondoni na Ilala ndio Dar es Salaam. Sasa wewe unatoka Segerea utasema unakaa Dar es Salaam, Ofisi zote za Serikali, Ofisi za Balozi zote zipo Kinondoni na Ilala, Segerea hakuna lolote zaidi ya Magereza na wauza mayai...Segerea hakuna tofauti na Mkuranga.
 
Sasa kama mbunge mwenyewe ni mzee wa poda unategemea nini apo halafu wazaramo walivo zero yaani wakipigiwa ngoma tu kura zote ccm.
Kinondoni hamna kitu apo Lema anahitajika apo awaokoe hao wapotevu.
 
mbunge mwenyewe sio wa kulaumiwa, hawa viongozi wengine wa halmashauri ambao ndio wanaokula hela za walipa kodi kutokana na ripoti ya CAG inavyosema na wao pia wa kulaumiwa...wanafanya nini zaidi ya kuiba hela wanazopewa kwa ajili ya maendeleo ya majimbo
 
Kinondoni na Ilala ndio Dar es Salaam. Sasa wewe unatoka Segerea utasema unakaa Dar es Salaam, Ofisi zote za Serikali, Ofisi za Balozi zote zipo Kinondoni na Ilala, Segerea hakuna lolote zaidi ya Magereza na wauza mayai...Segerea hakuna tofauti na Mkuranga.
Unadhani waliyotenganisha Masaki na Oystebay ziwe jimbo la Kawe unadhani wana mawazo hafifu kama haya yako? kwahiyo unatuthibishia hapa kwamba Masaki, Oysterbay, Msasani na Mbezi Beach siyo Dar es salaam?
 
mi iliniuma sana nilipigia kura cdm hapa kinondoni halaf wakashinda ccm.....kino bado tuko nyuma sana...tatizo ni warahisi kuhongeka halafu maisha yakishaba kama sasa ndio wanajifanya kupiga mikelele...acha wapate kibano!
Mimi ni Mkazi wa Mwenge na huwa napiga kura jimbo la Kinondoni, ukweli ilivyo jografia ya Kinondoni ni ngumu sana kushinda, nitakupa mfano hai, sisi wananchi wa jimbo la kinondoni tunaokaa mwenge, sinza na Kijitonyama tuliipa Chadema ushindi mkubwa sana sana, mfano kituo cha uchaguzi shule ya msingi MWENGE, unakuta chadema wana kura 400 CCM 50
Lkn tatizo kubwa ni ushazi, Magomeni, Kigogo Kinondoni shamba ambako kuna wapiga kura wengi sana, mfano kituo cha kigogo unakuta kuna vituo 62 ndani ya kimoja, ni tatizo,
Nimeamua ili nisipoteze kura yangu next time nitajiandikisha Ubungo au Kawe, Kinondoni pagumu kwa upinzani,
wananchi wanokaa uswazi ambao ni wengi sana sana huwa wanatuangusha sana sisi wapiga kura wa Mwenge, Kijitonyama na Africasana na baadhi ya maeneo ya Sinza
 
Watu wa uswazi ndo wanaotuangusha, angalia ubungo na kawe, kawe kuna mbezi beach na kwingineko. Angalia mwananyamala, sijui temeke, wanaona sifa kupewa kanga na kofia.
 
Kinondoni na Ilala ndio Dar es Salaam. Sasa wewe unatoka Segerea utasema unakaa Dar es Salaam, Ofisi zote za Serikali, Ofisi za Balozi zote zipo Kinondoni na Ilala, Segerea hakuna lolote zaidi ya Magereza na wauza mayai...Segerea hakuna tofauti na Mkuranga.

kaka mada inahusu kinondoni hii...
 
Unadhani waliyotenganisha Masaki na Oystebay ziwe jimbo la Kawe unadhani wana mawazo hafifu kama haya yako? kwahiyo unatuthibishia hapa kwamba Masaki, Oysterbay, Msasani na Mbezi Beach siyo Dar es salaam?

Wewe unadhani waliopanga kujenga Magereza ya Ukonga na Segerea walikuwa wajinga tafakari.
 
Unadhani waliyotenganisha Masaki na Oystebay ziwe jimbo la Kawe unadhani wana mawazo hafifu kama haya yako? kwahiyo unatuthibishia hapa kwamba Masaki, Oysterbay, Msasani na Mbezi Beach siyo Dar es salaam?

Mkuu Matola achana na huyo dogo, povu linamtoka kwa sababu muuza unga mwenzake anapewa ukweli wake...
 
Back
Top Bottom