Wakazi wa jimbo la Kinondoni

Wakazi wa jimbo la Kinondoni

Kinondoni na Ilala ndio Dar es Salaam. Sasa wewe unatoka Segerea utasema unakaa Dar es Salaam, Ofisi zote za Serikali, Ofisi za Balozi zote zipo Kinondoni na Ilala, Segerea hakuna lolote zaidi ya Magereza na wauza mayai...Segerea hakuna tofauti na Mkuranga.
Watu wengne hovyo kabisa , watu wanaongea mambo ya maana wewe unaleta ushakunaku ,sasa hizo ofc za sereikali zinakusaidia nini , wakati kinondoni ndo pachafu kuliko sehemu yoyote ya Dar es salaam
 
hamishia hii mada maeneo ya barafu, mapipa, hananasifu, studio, mkwajuni. On the ground
 
Mimi siishi Segerea wala Ukonga nadhani unazidi kujikanganya mwenyewe.

Nikiwa kama mkazi wa Jimbo la Segerea na niliyeshi kwa zaidi ya miaka 30 katika jimbo hili tangu Wilaya ya Ilala ikiwa ndiyo jimbo lenyewe na baadae likazaliwa Jimbo la Ukonga ambalo nalo sasa ndio limezaa jimbo la Segerea.

Mtu muongo na kigeugeu ni vigumu sana kutunza kumbukumbu zake hayo sio maneno yako?:ranger:
 
usihofu wala usihamishe kura yako mambo yanaenda kubadilika 2015 una support kubwa
 
Nikiwa kama mkazi wa Jimbo la Segerea na niliyeshi kwa zaidi ya miaka 30 katika jimbo hili tangu Wilaya ya Ilala ikiwa ndiyo jimbo lenyewe na baadae likazaliwa Jimbo la Ukonga ambalo nalo sasa ndio limezaa jimbo la Segerea.

Mtu muongo na kigeugeu ni vigumu sana kutunza kumbukumbu zake hayo sio maneno yako?:ranger:

Kweli ukiwa CCM nadhani kwenye mfumo wa akili kuna mishipa inakuwa imekufa na unapoteza uwezo hata mdogo wa kufikiri, hivi utamlazimisha vipi mkazi wa Magomeni useme anaishi Kinondoni?

Otherwise nadhani una zaidi ya tatizo, yaani mkazi wa Kariakoo useme anakaa Ilala hapa napo ufahamu wako ni lazima utiliwe walakini au Mkazi wa Keko useme anakaa Temeke, nadhani ubongo wako unahitaji kufanyiwa overhaul.
 
Mimi siishi Segerea wala Ukonga nadhani unazidi kujikanganya mwenyewe.

user-online.png
Matola

23rd April 2012 11:18
#20
JF Premium Member Array

Join Date : 18th October 2010
Posts : 5,584
Rep Power : 10338
Likes Received2323
Likes Given1696

icon1.png
Re: Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Nikiwa kama mkazi wa Jimbo la Segerea na niliyeshi kwa zaidi ya miaka 30 katika jimbo hili tangu Wilaya ya Ilala ikiwa ndiyo jimbo lenyewe na baadae likazaliwa Jimbo la Ukonga ambalo nalo sasa ndio limezaa jimbo la Segerea.
 
user-online.png
Matola

23rd April 2012 11:18
#20
JF Premium Member Array

Join Date : 18th October 2010
Posts : 5,584
Rep Power : 10338
Likes Received2323
Likes Given1696

icon1.png
Re: Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Nikiwa kama mkazi wa Jimbo la Segerea na niliyeshi kwa zaidi ya miaka 30 katika jimbo hili tangu Wilaya ya Ilala ikiwa ndiyo jimbo lenyewe na baadae likazaliwa Jimbo la Ukonga ambalo nalo sasa ndio limezaa jimbo la Segerea.

Sikai Segerea PERIOD.
Usilazimishe kitu usichokijuwa ukadhani wote upeo wetu uko sawa na wako, mimi mpaka leo Mbunge wangu ninapoishi ni Makongoro Mahanga na segerea siko ninakoishi mimi.
Simple language otherwise go back to school.
 
ha haa haaa haaaa!!
 
Back
Top Bottom