*YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE (CCM) KINONDONI MHE. MTULIA KATA YA MAGOMENI TAR. 08FEB*
"Wakati nilipokuwa Mbunge wa upinzani nilikuwa nashirikiana na Wenyeviti wa Serikali za mitaa wa CCM kupambana kutatua tatizo la mafuriko" - Mtulia
"Nilijitahidi sana lakini ukiwa kiongozi upinzani hauwezi kuwaletea maendeleo Wananchi. Ndio maana nimejiondoa upinzani ili niwaokoe Wakazi wa Kinondoni" - Mtulia
"Wale mlioko upinzani tokeni huko maana hakuna vyama kule, ni uongo mtupu. Njooni mjiunge na CCM" - Mtulia
"Sasa nina uhakika wa kuwatumikia vyema kwa sababu nitafanya kazi kwa muongozo wa ilani ya uchaguzi ya CCM inayoongoza dola" - Mtulia
"Agenda kubwa ninayoibeba ni kuhakikisha Kinondoni inakuwa jimbo la mfano la kimaendeleo mkoa wa Dar es Salaam" - Mtulia
"Nitahakikisha barabara zinajengwa, makazi yanapangwa, mifereji inachimbwa" - Mtulia
"Rais Magufuli nampenda kwa sababu ameonyesha dira ya kupambana na tatizo la ajira nchini, kujenga viwanda, kujenga reli ya kisasa, kujenga Maghorofa ya kisasa Magomeni, kuboresha upatikanaji wa umeme" - Mtulia
"Nikiwa Mbunge nitahakikisha Wanawake na Vijana wanapata mikopo ya asilimia 10 toka Manispaa" - Mtulia
"Nikiwa Mbunge nitashirikiana na Mkuu wa Wilaya Salum Hapi Mchapakazi kuhakikisha tunawatambua Vijana wanaojishughulisha na bodaboda, wapewe namba za utambulisho na wasiokuwa na bodaboda wakopeshwe bodaboda" - Mtulia
"Sijawasahau akina Mama nao pia nitahakikisha wanakopeshwa mikopo nafuu ya ujasiliamali." - Mtulia
"Nikiwa Mbunge nitafikisha ombi kwa Rais Magufuli wale waliobomolewa mabondeni wapewe makazi kwenye maghorofa mapya yanayojengwa Magomeni" - Mtulia
"Nikiwa Mbunge nitahakikisha ujenzi wa soko la Magomeni unaanza mara moja kwani Pesa Tsh. Bilioni 3.5 zipo tayari kwa kazi hiyo" - Mtulia
"Pesa Tsh. Bilioni 600 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Mto Ng'ombe. Nichagueni nikashirikiane na Serikali ya CCM kuhakikisha ujenzi huu unafanyika kiukamilifu." - Mtulia
"Naombeni sana Februari 17 muwahi vituoni mkanipigie kura za ndiyo niwe Mbunge wa jimbo la Kinondoni. Niazimeni imani niwalipe maendeleo, nipo tayari kuwatumikia" - Mtulia