Wakazi wa DAR, tumelogwa na CCM? Kulikoni?

No hili nadhani halina jibu moja.. Watu kutojiandikisha,watu kudharau kwenda kupiga kura,na tusisahau UCHAKACHUAJI ..tena huu unaplay part kubwa sana!
 
ubunge ni faida ya mtu,alikuwapo makongoro,kinana,sijui nana mafanikio yangu ni lwa juhudi zangu. wao wanakula posho tu.kuna watu mbunge wao hajaaapa
 
Kitu kikubwa kinachowaponza ni tamaa za kupata mafula na kanga, mimi mwenyewe nilishawahi kumshuhudia Mbunge wao wa Ilala akikusanya vijana kuwapa pombe na wenyewe wanakuambia Mbunge si ndio huyu bwana. Wakati huo huo huyo mtu anaekuambia anaipenda ccm chini ana kanda mbili miguu vumbi mtindo mmoja.
 
Jamani sasa kifanyike nini ili kuwakomboa baadhi ya wakazi wa Dar? Tatizo nini hasa? Elimu ndogo au hatuna huelewa? Au uhindi na uaarabu? Au ungazija na usomali? Au kuna hisia za kidini kama zinavyosambazwa na Mohamed Saidi kuelekea miaka 50 ya uhuru?.....tusaidiane jamani kuikomboa Dar
 
Hapana Mkuu si kweli! Na kama haya uyasemayo ni ya kweli....wewe unaona kifanyike nini ili hao watu waikatae ccm kuanzia sasa hadi
kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2015?

Dar vitu sometimes vinapatikana kiurahisi mtu anaweza kula mihogo au mahindi ya kuchoma akashushia na maji baridi ya kwenye plastic akashiba na kujisahau! ILA NAULI YA DALA DALA IKIPANDA KUFIKIA 1000 KUTOKANA NA MFUMUKO WA BEI THEN MAFUTA YAKIWA JUU NAULI YA DALA DALA IKIPANDA WATAANZA KUPATA MAUMIVU! HATA MAHINDI YA KUCHOMA HAWATANUNUA KWA SH 200 BALI ZAIDI

Yaani UKWELI NI KUWA WATU WENGI VIJIJINI WAMEAMKA, KATIKA KATA MOJA (UDIWANI, TLP, UBUNGE CCM URAIS SLAA ALIMPITA jK KWA KURA 58!


WALICHAGUA MTU NA SI CHAMA!
 
Jamani sasa kifanyike nini ili kuwakomboa baadhi ya wakazi wa Dar? Tatizo nini hasa? Elimu ndogo au hatuna huelewa? Au uhindi na uaarabu? Au ungazija na usomali? Au kuna hisia za kidini kama zinavyosambazwa na Mohamed Saidi kuelekea miaka 50 ya uhuru?.....tusaidiane jamani kuikomboa Dar
Tmesoma, tuna hela and we are wll travelled. Msijichuze.
 
Huyo Mrema aliwafanya nini hadi mumkome?
Mwizi mkubwa.... Alikuwa nakuja bakery moja ya waarabu kuchukua pesa kila jumapili usiku, nina ushahidi (ocular proof), sizushi na mtoto wa mwentye akery tulikwa tunacheza naye mpira utotoni timu moja (barcelona).
Real talk brah!
 
Mwizi mkubwa.... Alikuwa nakuja bakery moja ya waarabu kuchukua pesa kila jumapili usiku, nina ushahidi (ocular proof), sizushi na mtoto wa mwentye akery tulikwa tunacheza naye mpira utotoni timu moja (barcelona).

Real talk brah!

Vipi kaka uko bar? au umeshalewa? maana utumbo ulioujibu hapa nimeshindwa kukuelewa kabisa.....kwahiyo Mrema alikuwa mwizi wa mikate?
 
Vipi kaka uko bar? au umeshalewa? maana utumbo ulioujibu hapa nimeshindwa kukuelewa kabisa.....kwahiyo Mrema alikuwa mwizi wa mikate?
Typos..... mla rushwa, huwa alikuwa hana aibu kuombaomba hela ili awafanyie watu favours. Tunajua hilo, kwa macho yetu.... ila kama huo ni ukombozi unaoutaka we mpigie kura yako.
 
Tmesoma, tuna hela and we are wll travelled. Msijichuze.
Na hapa unasema mnapesa na mmesoma....Je ni wakazi wote wa Dar au ni baadhi ya wakazi wa Dar?
Alafu hiyo avatar yako inanipelekea kucheka kila niionapo
 
Na hapa unasema mnapesa na mmesoma....Je ni wakazi wote wa Dar au ni baadhi ya wakazi wa Dar?
Alafu hiyo avatar yako inanipelekea kucheka kila niionapo
Kuna wapuuzi huwa wanafikiri waswahili ni watu duni sana wasioelimika na wasiojua nini kinaendelea. Watu hao hao ukienda vijijinio kwao unaweza kulia.
Kuna dhana mbovu kuhusu waswahili, like w are stupid or s'thing.
 
Kuna wapuuzi huwa wanafikiri waswahili ni watu duni sana wasioelimika na wasiojua nini kinaendelea. Watu hao hao ukienda vijijinio kwao unaweza kulia.
Kuna dhana mbovu kuhusu waswahili, like w are stupid or s'thing.
Ni kweli hata mie huo msemo nimeusikia sana "japo sijauthibitisha"....na inasemekana hata CCM mtaji wao mkubwa ni waswahili.
Pia watu wanasema sehemu zenye watu walioamka ccm haipati kitu mahala hapo....ila sehemu zenye uswahiliswahili ndizo ccm hushinda.
 
Sometime huwanawaza kwanini wakazi wa Dar-es-salaam tusiwe chachu ya mabadiliko tunayoyataka? Maana utakuta tunapiga
keleleweeee lakini mwisho wa siku tunaichagua ccm! Hasa wakazi wa ILALA na KINONDONI' kwanini jamani? Tumelogwa? Hakika
haiingii akilini tunazidiwa na hata watu wa mikoani na vijijini?

Tena huko watu ndiyo wamelala na hawana mwamko au mtazamo kama sisi wakazi wa Dar....iweje watu wanaokaa nje kidogo tu ya jiji letu kama Kawe, Ubungo na hata Tabata Segerea hawataki kusikia kitu kinachoitwa CCM, sasa inakuwaje sisi wakazi tunaoishi majimbo ya katikati ya mji (Ilala na Kinondoni) tumeichagua CCM kwenye ucha guzi uliyopita?

Yaani nadiliki kusema hata kesho itokee uchaguzi wa ghafla Kinondoni au Ilala kama ilivyotokea Igunga basi utaona watu wanaichagua
ccm kwa kura za kishindo!. jamani tatizo ni nini? tumelogwa na ccm hii iliyotunyonya kwa miaka 50 na kutulaza na giza kila siku?

Hebu tazama wakazi wa Mwanza,Mbeya,Arusha,Shinyanga mjini,Iringa, Lindi mjini,Moshi mjini na vijijini,Singida vijijini,Mbozi nk huko
kote hawataki tena kusikia kitu kinachoitwa ccm. Sasa iweje sisi tunaojiita wajanja wa mjini (wabongo) kila uchaguzi tunaichagua ccm?

Makao makuu ya Chadema yako jimbo la kinondoni lakini cha ajabu ccm ndiyo inatawala hapo. Makao makuu ya NCCR yapo Ilala lakini
cha ajabu ccm ndiyo inatawala hapo. Makao makuu ya CUF yapo Buguruni lakini cha ajabu ccm ndiyo inatawala hapo. Jamani kulikoni?

Yaani makao makuu ya vyama vyetu yapo milangoni kwetu na tunaona kabisa hawa viongozi wetu wa vyama vya upinzani jinsi wana
vyopambana na kutuelimisha....lakini bado mwisho wa siku tunaichagua ccm. Jamani wabongo tuna nini kwenye vichwa vyetu?

Mageuzi ya kuindoa KANU yalianzia Nairobi, mageuzi ya kumuondoa Keneth Kaunda na sasa Rupia Banda yalianzia Lusaka, mageuzi ya
kumuondoa Ghabo wa Ivory coast yalianzia Abdijani, mageuzi ya kumuondoa rais wa Tunisia yalianzia Tunisia, mageuzi ya kumuondoa
Mubarak wa Egypti yalianzia Cairo na mageuzi ya kumuondoa Gaddafi wa Libya yalianzia Tripoli na baadae Beghazi.

So kuna waliotoka kwa sanduku la kura na kunawaliotoka kwa kufukuzwa na wananchi. So all in all mageuzi yalianzia miji mikuu na kusambaa miji midogo.

Lakini kwa hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa! watu wa mji mkuu wamelala usingizi mfano wa pono....yaani wanatushinda hata wakazi
wa mikoani na vijijini? Hebu angalia kilichotokea Igunga' CCM imetokea kwenye tundu la sindano, chupu chupu ing'oke!

Yaani ilikuwa tia maji tia maji mtu (ccm) isikate roho pale Igunga. Je wakazi wa jiji la Dar ukiondoa Kawe na Ubungo, tuna matatizo gani? tumelogwa na CCM? Au kunatatizo ambalo limejificha mie sijui? Kwa nini tusiwe kioo cha mageuzi kwa faida ya watanzania wote?.

- Nawasilisha

Consultant wa kucheck akili za wabogo anahitajika, haraka sana!!.....
 
Hatujarogwa ila huwa tunaenda mbele tunarudi nyuma Nora wakae wao kuliko chama cha wachaga wakaskazini.....
 
Wakuu mimi nipo jimbo la ukonga,kila kitu huru raha tu maji barabara za lami hadi chooni,madawati kila shule hadi darini

Tunaipenda ccm kwa dhati
Jirani zangu FaizaFoxy Ritz laki si pesa
Hawajambo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom