Wakazi Vs Godzilla yupi ni master

Boss Zilla wakati
anatoka alibadili Game
na kuipa ladha flan ya tofauti sana na rap tulizozoea Bongo.

Poa labda mantiki yake
ila alivyokua anapita na beat kama unapenda rap lazima uburudike unaposema hujawahi kumkubali kabisa sidhan kama
ulimsikiliza Zilla vyema

Nimewahi kumsikiliza jamaa kama mara 3 au 4 hivi, ila ni kichefu chefu. Moja, hajui hata matamshi na matumizi sahihi ya lugha, iwe kiswahili au kingereza anacholazimisha. Pili, hana uwezo wa kujadili kabisa, anaropoka mno.

Kwa lugha ya rap, jamaa hana bars kabisa. Labda unionyeshe bob.
 
Kama nilivyosema mwanzo, Zilla sijawahi kumkubali kabisa. Amejaa ulimbukeni, ushamba na ujinga. Zilla kama Snoop Dogg, wanaweza kwenda na beats ila hakuna cha maana wanachosema.

Nadhani freestyles zinadumaa kwa sababu hakuna 'marefarii' wenye uwezo wa kusimamia. Angalia kama hao jamaa hapo studio.
Hiyo session ilikuwa ya pili ya kwanza mashabiki walipiga kura akashinda zilla. Ila pia hakuna walichokifanya.

Atleast, zilla kwenye zile session za clouds miaka ile, he was something. Wakazi fresstyle hawezi kama umemsikiliza mwanzoni alifanya freestyle akashindwa round zingine akachana alichokiandika.

Wamepambanisha asiyeweza vs aliyekuwa anajaribu ila kwasasa hawezi.
 
Nimewahi kumsikiliza jamaa kama mara 3 au 4 hivi, ila ni kichefu chefu. Moja, hajui hata matamshi na matumizi sahihi ya lugha, iwe kiswahili au kingereza anacholazimisha. Pili, hana uwezo wa kujadili kabisa, anaropoka mno.

Kwa lugha ya rap, jamaa hana bars kabisa. Labda unionyeshe bob.
Bro achana na rap za baada ya kutoka kujifananisha ni 50 rudi nyuma usikilize free style zake kabla hajatoka na rap zake za mwanzoni alikua na kipaji kikubwa...

Btw amekua na muda mfupi sana kwenye Game hasikiliziki tena kwa sasa
 
Kuna namna moja tu pekee ya kunishawishi kumsikiliza jamaa, nipe bars zake chache tu ambazo umewahi kuzikubali kuwa zina maana.
 
Kuna namna moja tu pekee ya kunishawishi kumsikiliza jamaa, nipe bars zake chache tu ambazo umewahi kuzikubali kuwa zina maana.
Boss Bars Zilla hakuna kabisa
hapo nimekuunga mkono ndugu mimi naongelea muundo na
mtindo wake wa rap upande wa fani vile anavyopita na beat
 
Boss Zilla wakati
anatoka alibadili Game
na kuipa ladha flan ya tofauti sana na rap tulizozoea Bongo.

Poa labda mantiki yake
ila alivyokua anapita na beat kama unapenda rap lazima uburudike unaposema hujawahi kumkubali kabisa sidhan kama
ulimsikiliza Zilla vyema
Sasa kama 50 cent yupo nimsikilize Zilla wa nini??

Haya kadata sasa.
 
Boss Bars Zilla hakuna kabisa
hapo nimekuunga mkono ndugu mimi naongelea muundo na
mtindo wake wa rap upande wa fani vile anavyopita na beat

Nimekusoma. Ndio maana nikamuita trash, anajua ku-rap juu ya beat ila hakuna anachosema. Mtindo wake haujawahi kunivutia pia kwa sababu anakopi na ana uelewa finyu wa anachokopi.
 
Huyu huu mwakw hauish
Kama hajawafuata wenzake
Chid,ferooz,young d,nando.
 
Back
Top Bottom