PostGE2025 Wakazi: Majizo "usijipe umuhimu"

PostGE2025 Wakazi: Majizo "usijipe umuhimu"

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hiyo "entertainment" si inaendeshwa na "entertainers" na jee hao entertainers hawana wajibu kwa jamii.

Watu wanawezaje kuburudishwa na wasanii wanaowatukana na kuwadharau?
Hio ya kuita wasanii kioo cha jamii au mfano wa kuigwa nadhani ni kupotoka - binafsi contract yangu na wasanii ni kazi zao na si vinginevyo; Najua wasanii kama binadamu nao kuna wapuuzi na upuuzi mwingi (R Kelly kuwa kwake Jela na alichofanya) haibadilishi uzuri wa kazi zake na kwamba ni King of RnB;

Kwahio kama unataka busara, hekima na what not kutoka kwa wasanii zaidi ya wanachofanya (nyimbo, jingle au maigizo) nadhani utakuwa disappointed at worse au at best utapata na wanafiki (kujifanya wanaguswa hata wasipoguswa), ndio maana nadhani kuwapa kina Dogo Janja sijui kuwa madiwani ni kutumia resources vibaya ni kama kutumia dekio kufagia uwanja wa nje

Hio ya kuita wasanii kioo cha jamii au mfano wa kuigwa nadhani ni kupotoka - binafsi contract yangu na wasanii ni kazi zao na si vinginevyo;
Kwa hiyo wewe msanii anaweza kumuua ndugu yako ila kwa kuwa ana kazi nzuri ya kisanii utaendelea kumshabikia bila ya kujali kama amemuua ndugu yako?

Msanii akutukane atakavyo ila dakika mbili baadae unaifurahia kazi yake..?

Lakini watu wa aina yako wapo pia duniani.
 
Kwa hiyo wewe msanii anaweza kumuua ndugu yako ila kwa kuwa ana kazi nzuri ya kisanii utaendelea kumshabikia bila ya kujali kama amemuua ndugu yako?
Akiua mtu kuna sheria inabidi awekwe ndani (kama hata R Kelly) ndio maana yupo ndani, lakini haimaanishi I WISH moja ya kibao murua kimebadilika na kuwa kibaya ghafla - by the way sishabikii mtu bali ninaconsume kazi ; naposikiliza hapa kibao cha Donnel Jones (You Know What Up) sikisikilizi sababu amekitoa Donnel Jones (after all ni unknown kwa wengi) bali nakisikiliza sababu ni kizuri kwangu na kinanipa faraja
Msanii akutukane atakavyo ila dakika mbili baadae unaifurahia kazi yake..?
Muda wa kusikiliza matusi ya msanii sina; after all kuanzia mwanzo najua intelligence prowess yake huenda leaves a lot to be desired; na kazi yake itategemea kama ni nzuri tai-consume kazi kama kazi na kama ni gharasha wala haitapata hata sekunde ya muda wangu - najua void ya kutokuwa na hizo kazi na hasara yake kwenye jamii
Lakini watu wa aina yako wapo pia duniani.
Sasa unataka watu wote tuwe aina kama yako ? To each their Own.....

NB: wakati watu wanauliwa na majambazi au wengine wapo lock-down walikuwa wanasikiliza nini ndani kwao kama sio kazi za Wasanii - Sababu hata kazi za Maombolezo pia zipo
 
Watuletee ROMA, NEY WA MITEGO, WAKAZI na wanamziki wote ambao vipaji vyao vime fifishwa makusudi, kama huyo ney ndio hata show na matangazo hawampi kabisa, ila hawa wanao imba maujinga yao ndio wanaopewa airtime
Ni upunga tu ulionuiwa wakati wa novena ndiyo unaowasumbua, we mwenyewe utaenda kwenye show za ney?!!!! Sema ukweli kutoka moyoni.
 
Huyo Majizo ni mnufaika wa Tasnia ya Entertainment kwahio vita dhidi ya wasanii inamuathiri biashara yake na ametumia busara kurudi kwa wananzengo sababu ya survival ya Industry....

Kwahio nadhani ni mdau wa Industry na alichofanya ni busara na mimi kama mlaji wa Kazi za wasanii ni bora kuwa na wasanii than lack of....
hamna tabu ukiwasamehe wewe! Ila jua wewe ni mmoja kati ya millions.
 
hamna tabu ukiwasamehe wewe! Ila jua wewe ni mmoja kati ya millions.
Huyu mdau hii ni kazi yake na hii ni industry yake ufanyaji vema wa industry ndio ustawi wake...; Kwahio ana kila sababu ya kupigania ustawi wa industry

Binafsi ni consumer wa kazi za wasanii (entertainment worldwide) na naangalia kazi na sio nani nyuma ya kazi hivyo consumption yangu huwa ni kigezo kimoja tu - Ubora wa kazi, sifuatilii maisha yao wala sida muda wa kuwa personal ; sina personal attachment; just business; Na mbali zaidi najua faida ya entertainment katika jamii yoyote ile.....
 
Huyo Majizo ni mnufaika wa Tasnia ya Entertainment kwahio vita dhidi ya wasanii inamuathiri biashara yake na ametumia busara kurudi kwa wananzengo sababu ya survival ya Industry....

Kwahio nadhani ni mdau wa Industry na alichofanya ni busara na mimi kama mlaji wa Kazi za wasanii ni bora kuwa na wasanii than lack of....
Wapo wasanii ambao hawajatukana shabiki wao. Hao wataungwa mkono kwenye kazi zao.
Huyo Naseeb na ma 'choco' wenzie waende wakatumbuize kwenye events za fisiem na za nje ya nchi.
Huko watapata shabiki na followers wa account zao mitandaoni.
 
Perception yangu hata utukane mpaka uso uwe mwekundu nitakupuuza sababu kutumia muda wangu kusikiliza matusi au kunisifia kwa mgongo wa chupa huo muda sina....

Kazi yako (wala sio zako sababu unaweza ukatoa boko) itakuchua muda wangu wa kui-consume kama ni nzuri na sio vinginevyo hata kama kila siku unanisifia...

Huyo ni mimi ila kwa mtu ambaye entertainment ndio bread and butter ya maisha yake na industry yake ninamuelewa anachokiongelea ukizingatia wasanii ndio tools of his trade...
 
Perception yangu hata utukane mpaka uso uwe mwekundu nitakupuuza sababu kutumia muda wangu kusikiliza matusi au kunisifia kwa mgongo wa chupa huo muda sina....

Kazi yako (wala sio zako sababu unaweza ukatoa boko) itakuchua muda wangu wa kui-consume kama ni nzuri na sio vinginevyo hata kama kila siku unanisifia...

Huyo ni mimi ila kwa mtu ambaye entertainment ndio bread and butter ya maisha yake na industry yake ninamuelewa anachokiongelea na kupitia wasanii ndio tools of his trade...
Kila mtu na afuatilie mambo yake.
Watu wakifuatilia kazi za mwingine, akipata pesa kupitia kufuatiliwa kazi zake anaona wajinga wanao fuatilia kazi zake na hawafanyi kazi.
Sasa walaji wa muziki wameamua kufanya kazi zingine ambazo watapata acknowledgement and recognition, or appreciation.
 
Moja huwa nashangaa sana watu wanaofuatilia mpaka maisha ya mtu (celebrity) ila ndio hivyo to each their own ; lakini mwisho wake ndio huu watu kuwa disappointed na kujali au kuumizwa na nani kasema nini - ila ikiwa mtu unafanya kile au kutumia kile au consumption ya kitu ambacho kinakusaidia kwa wakati husika wala hautapata shida...
 
FB_IMG_1765476708765.jpg
KUNA MWANANCHI KAPOST HIVI
 
Back
Top Bottom