Wakatoliki wamchoka Papa Francis,atakiwa kujizulu

Anthony10

Member
Sep 13, 2016
91
102
MAKARDINALI WAPANGA KUMSHINIKIZA PAPA AJIUZULU

Jopo la Makardinali waliompa ushirikiano mkubwa Papa Francis wa 16 wakati wa uteuzi wake, wamepanga kumshinikiza ajiuzulu kutokana na ukiukwaji wa maadili ya kanisa.

Gazeti la The Times na Libero la Italia, yameandika kuwa Makardinali hao zaidi ya dazeni, wamepanga kushinikiza Papa Francis ajiuzulu lakini bila kujitenga naye kwa namna yoyote ile. Hata hivyo haijafafanuliwa ni maadili gani aliyoyavunja Papa huyo.

=====
Makardinali wapanga kumshinikiza Papa ajiuzulu

Kwa ufupi

Gazeti la The Times na Libero la Italia, yameandika kuwa Makardinali hao zaidi ya dazeni, wamepanga kushinikiza Papa Francis ajiuzulu lakini bila kujitenga naye kwa namna yoyote ile. Hata hivyo haijafafanuliwa ni maadili gani aliyoyavunja Papa huyo.
Advertisement

Jopo la Makardinali waliompa ushirikiano mkubwa Papa Francis wa 16 wakati wa uteuzi wake, wamepanga kumshinikiza ajiuzulu kutokana na ukiukwaji wa maadili ya kanisa.

Gazeti la The Times na Libero la Italia, yameandika kuwa Makardinali hao zaidi ya dazeni, wamepanga kushinikiza Papa Francis ajiuzulu lakini bila kujitenga naye kwa namna yoyote ile. Hata hivyo haijafafanuliwa ni maadili gani aliyoyavunja Papa huyo.

Makardinali hao ndiyo waliofanya jitihada kubwa za kuteuliwa kwa Papa Francis katika uteuzi wa nafasi hiyo mwaka 2013.

Mwandishi Antonio Socci ameandika katika gazeti la Libero na kueleza kuwa kwa sasa Makardinali wanajadili iwapo Papa akijiuzulu nani atashika nafasi yake.

Chanzo: Mwananchi
 
Kanisa katoliki ni moja, msitarajie mgawanyiko wowote.
Hizo ni habari za udaku kama zingine tu. Migogoro ya ndani ya kanisa huwa wana utaratibu wa kumaliza ndani huko. Kanisa lina taratibu nzuri, lina sheria zake(canon law) lina mahakama zake.
Tumsifu Yesu kristo.
 
Jamani acheni kudharauliana.

Kila mtu na imani yake tusibaguane hesabu ni kwa Mungu sasa hapa tunagombana nn?
Uwe mkristo,mlokole,muislamu au mpagani haijalishi cc sote ni ndugu.
Dini zisitugawe na kutugombanisha.
Allah Akbar
 
MAKARDINALI WAPANGA KUMSHINIKIZA PAPA AJIUZULU

Jopo la Makardinali waliompa ushirikiano mkubwa Papa Francis wa 16 wakati wa uteuzi wake, wamepanga kumshinikiza ajiuzulu kutokana na ukiukwaji wa maadili ya kanisa.

Gazeti la The Times na Libero la Italia, yameandika kuwa Makardinali hao zaidi ya dazeni, wamepanga kushinikiza Papa Francis ajiuzulu lakini bila kujitenga naye kwa namna yoyote ile. Hata hivyo haijafafanuliwa ni maadili gani aliyoyavunja Papa huyo.Makardinali wapanga kumshinikiza Papa ajiuzulu

----------
Huyu ndiye Baba mtakatifu..?????
False news is for April fools day. Are u a fool?
 
Back
Top Bottom