WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

Mambo mengine hasa ya imani huhitaji kuhoji.... Ukitaka nenda usipotaka acha..... Wala usimlaumu anayekwenda!!!!
 
Na hivyo ndivyo maandiko yasemavyo

1 YOH. :2:1
Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,

1 YOH. :2:2
naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote.

Hakuna mwanadamu awezaye kusamehe dhambi na wala Mungu hakukasimisha mamlaka ya kusamehe dhambi kwa mwanadamu yeyote
Yohana 20:1923
19 Jumapili hiyo jioni, wakati wanafunzi walikuwa pamoja huku milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi, Yesu aliwato kea! Akasimama kati yao akasema, “Amani iwe nanyi.” 20 Baada ya kusema haya, aliwaonyesha mikono yake na ubavu wake. Wanafunzi walifurahi sana walipomwona Bwana! 21 Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.” 22 Na alipokwisha kusema haya akawavuvia pumzi yake akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu. 23 Mkimsamehe mtu ye yote dhambi zake, atakuwa amesamehewa. Msipomsamehe, atakuwa hajasame hewa.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo padri ana haki gani kiasi cha kuweza kusamehe dhambi, alimwaga damu gani kwa ajili ya ukombozi wa mtu?

Kwa maswali haya utaona ni kautaratibu ka uongo sana kalikobuniwa kuwahadaa watu na mbaya zaidi kanapora kazi ya Kristo Yesu maana mwombezi wetu na ambaye tunapaswa kumuomba msamaha ni mmoja tu Kristo Yesu kwa mujibu wa maandiko
Yohana 20:1923
19 Jumapili hiyo jioni, wakati wanafunzi walikuwa pamoja huku milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi, Yesu aliwato kea! Akasimama kati yao akasema, “Amani iwe nanyi.” 20 Baada ya kusema haya, aliwaonyesha mikono yake na ubavu wake. Wanafunzi walifurahi sana walipomwona Bwana! 21 Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.” 22 Na alipokwisha kusema haya akawavuvia pumzi yake akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu. 23 Mkimsamehe mtu ye yote dhambi zake, atakuwa amesamehewa. Msipomsamehe, atakuwa hajasame hewa.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaupimaje ukatoliki wangu?
Mkatoliki tena mzuri tu,
Nashiriki vingi isipokuwa nimeamua bila kushurutishwa na yeyote kutokufanya hivyo na kutokwenda kuubusu msalaba siku ya Ijumaa kuu.
Nabaki na Mungu wangu
Ninaamini kutokufanya hivyo hakutoniondolea sifa ya kuwa mkatoliki.
Unaweza kuwa mkatoliki lakini hata hujui ABC za ukatoliki, kama hujui kwanini mapadri wana mamlaka ya kumuondolea mtu dhambi then in sawa na asiye mkatoliki.
Soma biblia ndugu ujue kwanini imekuwa hivyo.

Yohana 20:1923
19 Jumapili hiyo jioni, wakati wanafunzi walikuwa pamoja huku milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi, Yesu aliwato kea! Akasimama kati yao akasema, “Amani iwe nanyi.” 20 Baada ya kusema haya, aliwaonyesha mikono yake na ubavu wake. Wanafunzi walifurahi sana walipomwona Bwana! 21 Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.” 22 Na alipokwisha kusema haya akawavuvia pumzi yake akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu. 23 Mkimsamehe mtu ye yote dhambi zake, atakuwa amesamehewa. Msipomsamehe, atakuwa hajasame hewa.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'' Watoto wangu wadogo nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. NA KAMA MTU AKITENDA DHAMBI tunaye mwombezi kwa Baba, Yesu kristo mwenye haki, naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala sio kwa dhambi zetu tu bali kwa dhambi za ulimwengu wote'' 1 Yohana 2:1,2

Kazi inayofanywa na Yesu ya Kutuombea msamaha kwa Baba sisi wakosefu Tunapoomba kwa Jina lake hakuikasimisha au kuoutsource walakwa mwanadamu yoyote.
mpatanishi ni mmoja, anayeyaishi maisha haya magumu ya dhambi bila kutenda dhambi. Ndio pekee anapaswa kuelezwa magumu yetu. Viongozi wa dini wanapaswa kitupeleka na kutuelekeza kwake sio kwake kupitia kwao.

wakatoliki wako sahihi kwa sababu ni makubaliano yao ya kikanisa. Ila sisi wateja na watumwa bibilia tunatambua wazi huo sio ushauri wa Yesu au Bibilia.
Yohana 20:1923
19 Jumapili hiyo jioni, wakati wanafunzi walikuwa pamoja huku milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi, Yesu aliwato kea! Akasimama kati yao akasema, “Amani iwe nanyi.” 20 Baada ya kusema haya, aliwaonyesha mikono yake na ubavu wake. Wanafunzi walifurahi sana walipomwona Bwana! 21 Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.” 22 Na alipokwisha kusema haya akawavuvia pumzi yake akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu. 23 Mkimsamehe mtu ye yote dhambi zake, atakuwa amesamehewa. Msipomsamehe, atakuwa hajasame hewa.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakataa kuungama kwa padri wakati unaenda kwa mchungaji unaombewa then unajiona umetakasika( umeondolewa dhambi) then unakuwa mlokole. Huwa siwaelewi nyie watu. Logically sioni tofauti hapo.
Ila kwa wakatolic wasivyopenda kubishana na watu wanatulia tu.

Biblia inasema
Yohana 20:19-23
19 Jumapili hiyo jioni, wakati wanafunzi walikuwa pamoja huku milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi, Yesu aliwato kea! Akasimama kati yao akasema, “Amani iwe nanyi.” 20 Baada ya kusema haya, aliwaonyesha mikono yake na ubavu wake. Wanafunzi walifurahi sana walipomwona Bwana! 21 Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.” 22 Na alipokwisha kusema haya akawavuvia pumzi yake akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu. 23 Mkimsamehe mtu ye yote dhambi zake, atakuwa amesamehewa. Msipomsamehe, atakuwa hajasame hewa.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mkatoliki lakini lakini siendi kwa Padre akanisamehe dhambi,
Hapana,
Nitatafuta penye utulivu,nitakiri na kuomba msamaha kwa Muumba.
Yeye ni mwenye huruma na husamehe wanaoomba msamaha.
Hizi sheria zingine za kibinadamu hapana.
Kifupi wewe sio mkatoriki maana usipoamini hayo sio wakwetu. Ili uwe mkatoriki lazima uamini hayo other wise unajiita mkatoriki lkn si mkatoriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la watu wengi ni suala la imani. Yaan dini sasa imekuwa ni among of cultural aspects. Watu wanaenfa kanisani mfano roman au rutheran kisa tu wazazi wake walikuwa na hiyo dini. Lakin huyi mtu anakwenda kanisan kimazoea sana. Tunashindwa kutofautisha Mungu na dini ndio maana watu wanachukulia simple. Kama unajitambua huwezi kwenda kwa padri na kuungama dhambi zako wakati unajua yule sio Mungu.

Sent using samsung galaxy grand prime pro
 
Zile sakramenti saba za kanisa ikiwemo kitubio ni ishara za wazi zilizowekwa na Yesu mwenyewe. Kitubio kwa Padre ina evidence za kutosha kimaandiko.

Lakini pia faida nyingine ya kitubio cha kweli ni kupata msaada/ushauri wa padre ili usianguke tena. Lakini pia Padre kama mwakilishi wa Yesu kwa niaba yake anakutamkia msamaha wa dhambi ikiwa ni sehemu ya kukufanya kujisikia kupokea msamaha na upendo wa Mungu.

Ushihidi wa maandiko upo na nitauleta nikiwa free kidogo. Ukipata neema ya kulielewa Kanisa Katoliki hutoyumba na imani yako. Tabu siku hizi tuna walimu wengi mno ambao source yao ni madhehebu ambayo foundation yake inafahamika.

Ukiwa Mkatoliki wa kawaida kama una kiu ya kumjua Mungu kiundani nenda parokiani kwako waulizie Wakaristimatiki ili wakuongoze katika safari yako ya wokovu bila kuchanganyikiwa. Walimu wengi wa zama hizi ndio walioteka media maarufu na wanatumia social media effectively na kufanikiwa kuvuta watu kwa injili zenye mafundisho yenye mvuto lakini yanayokuhamisha kwenye imani yako kwa kauli yao maarufu ya njoo kwa Yesu achana na dini.

Dini zimepandikizwa ubaya ingawa ndizo zilizotuletea imani hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulokole ulipoingia Tanzania miaka fulani walikuwa hawaamini katika nguvu ya
1.Maji ya baraka
2. Vitambaa vilivyobarikiwa
3. Nk...ambavyo kwa wakatoliki tunaita visakramenti

Miaka hii wanaviamini balaa mpaka wamepitiliza wanauza maji na vitambaa.

Itafika kipindi watakua wanaungama kwa wachungaji wao na baadhi yao wameshaanza ijapokuwa na wachungaji wao hawatakuwa na vifua kuifadhi siri za waumini.

Kulielewa kanisa katoliki kunahitaji hekima, haya mambo watu wanayoyaibua yalishajadiliwaga miaka zaid ya elfu iliopita.
Asante mkuu,
Mbona wanaungama kwa kuita wanaombewa, maana mwisho wa maombezi mchungaji husema "Nenda uishi katika kristo, usitende dhambi tena" nini maana yake?

Nawakumbushia tu hawa kuwa mamlaka ya padre kuondolea watu dhambi yalitoka kwa Yesu direct, Yohana 20:20-23. Sasa nashangaa mtu anauliza mamlaka ya padri kusamehe watu dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakimbia hapa bora uwe mwisilamu tuu ijulikane maana biblia inajikoroga labda kwa upande wako.

"Nimepewa Mamlaka yote Mbinguni na duniani. Pokeeni Roho Mtakatifu. Yeyote mtakaye mwondolea dhambi ameondolewa na yeyote msiyemwondolea hatasamehewa." "Mtakalo lifunga duniani na mbinguni limefungwa, mtakalolifungua duniani na mbinguni limefunguliwa."- Yesu

Kama huendi kwa Padre kutekeleza Sakramenti ya Upatanisho, unaendaje kwa mchungaji kufungishwa ndoa? Si uende kwa Mungu moja kwa moja?
Asante,

Back
Top Bottom