Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,742
- 107,055
Mkuu hua ni wasabato hao hawana lolote wasikusumbue..Hata mie nashangaa hapa padre lini akasamehe dhambi, wakati hata mwanasheria ukitaka akutete kesi yako lazima umwambie ukweli ili ajue jinsi ya kukunasua sembuse kiongozi wa dini!
Sent using Jamii Forums mobile app