Uelewa mdogo ndio tatizo mkuu.Unamfananisha Abood na kijana alomaliza chuo mwaka jana,kweli?
Uelewa mdogo ndio tatizo mkuu.
Na Ikifikia kwa mwenye kipato Kikubwa basi ujue mwenye kipato kidogo atakuwa ameshakufa.Siku zote maisha magumu huanzia kwa wenye kipato kidogo.
ExactlyHii Itakuwa ni promotion imekuja kwenye package ya thread
Fuatilia mtiririko wa comment kati yangu na huyo noliyereply uelewe. Pia kila usifikiri kama ni jobseeker kamaliza juzi.Hakuna cha uelewa mdogo....mfanye kazi kwani kumaliza chuo mwaka jana ndo inakufanya husiingie mtaani nakuwa mchuuziiii?,tatizo la vijana wengi mkiwa chuo mnakuwa mabishoo watu wa matanuzi hasa kwa mademu zenu so mkimaliza chuo boom limekata mtaani hajira hakuna....mnaogopa tembeza mabeseni.....kupata chaneli lazima ujivuruge na kila mishe.....
Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20
Watu tufanye kazi tuache kulalama
Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
Acha umbea mimi nipo stendi ni 12.Sawa mkuu ?Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20
Watu tufanye kazi tuache kulalama
Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
Umesema Ukweli Mkuu! Ni Sawa Na Kumfananisha Simba Porini Na Paka Wa Kufuga,Unamfananisha Abood na kijana alomaliza chuo mwaka jana,kweli?