Wakati wewe unalia maisha magumu wenzako wanafanya haya..

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,367
2,217
1482322715618.jpg

Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20

Watu tufanye kazi tuache kulalama

Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
 
Uelewa mdogo ndio tatizo mkuu.

Hakuna cha uelewa mdogo....mfanye kazi kwani kumaliza chuo mwaka jana ndo inakufanya husiingie mtaani nakuwa mchuuziiii?,tatizo la vijana wengi mkiwa chuo mnakuwa mabishoo watu wa matanuzi hasa kwa mademu zenu so mkimaliza chuo boom limekata mtaani hajira hakuna....mnaogopa tembeza mabeseni.....kupata chaneli lazima ujivuruge na kila mishe.....
 
Fuatilia mtiririko wa comment kati yangu na huyo noliyereply uelewe. Pia kila usifikiri kama ni jobseeker kamaliza juzi.
 
Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20

Watu tufanye kazi tuache kulalama

Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa

Mkuu wewe ni mwan ukoo wa Abood au unataka ujiunge na ukoo huo? ukinipa jibu nitaendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom