Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 768
Kakojoe ulale boya wewe. Celebrities forum kuna viwanda?Hivi hizo show zikiishaga
Vinatuletea viwanda vingapi?????
Ova
Mkuu maisha magumu hata muda wa kufurah hata kidogo tunachokipata tusiwe nao...viwanda tushapigwa pale acha tufurahie kidogo hikihikiHivi hizo show zikiishaga
Vinatuletea viwanda vingapi?????
Ova
Baraka da princewasanii gani hao waliochoka?
Hapo ndio wanakwama wasanii wetu...Angalia show akipiga meek mill au 2chainz unawekewa mzigo juu ya mzigo mpaka unafurah..hakuna mikono juuFestival za kutosha..Mashabiki lazima tukonde na ule mwendo wa weka mikono juu na piga keleleee
Kikubwa tuombe mungu redio zingine nazo ziamkeMkuu kila kitu mbona ilikuwa poa,wasafi festival wasanii wakubwa waliosahaulika wamepewa nafasi ambao hata Tigo fiesta walisahaulika.
Diamond ilikuwa halali yake kuperform mda mrefu maana ndo mwenye hits nyingi na wengi wameenda Kwa ajili ya hits za diamond
Tunalitambua vizur yote ni kutokana na ruge alikuwa king kuliko kusaga pale clouds sasa kumbuka yote ya yote mond ana nguvu kuliko mke wa kusaga bado saga lile lile tuTukumbushañe tu mmiliki halali wa wasafiMke wa Kusaga na Diamond wamiliki Wasafi Televisheni
Kituo hicho kipya cha televisheni kimezua mjadala kuhusu wamiliki wake tangu kilipoanza matangazo ya majaribio, baadhi wakisema kinamilikiwa kwa asilimia 100 na nyota huyo wa Bongo Fleva.www.mwananchi.co.tz
Nimeona akina mboso na lava lava walivyokosa mwelekeo baada kupewa muda mfupi .walixoea wasemeshe watu na kuwaimbisha!Hapo ndio wanakwama wasanii wetu...Angalia show akipiga meek mill au 2chainz unawekewa mzigo juu ya mzigo mpaka unafurah..hakuna mikono juu
Mara siwasikiii, wakati sisi ndio tumeenda kumsikiliza msanii anachoimbqFestival za kutosha..Mashabiki lazima tukonde na ule mwendo wa weka mikono juu na piga keleleee
Acha unafiki dogo tunakujuaTunalitambua vizur yote ni kutokana na ruge alikuwa king kuliko kusaga pale clouds sasa kumbuka yote ya yote mond ana nguvu kuliko mke wa kusaga bado saga lile lile tu
Tunalitambua vizur yote ni kutokana na ruge alikuwa king kuliko kusaga pale clouds sasa kumbuka yote ya yote mond ana nguvu kuliko mke wa kusaga bado saga lile lile tu
Mke wa Kusaga si yo mmiliki pekee wa Wasafi Media. Yeye ni majority shareholder tu. Anao wamiliki wenzake wawili ambao nao ni wanahisa.Tukumbushañe tu mmiliki halali wa wasafiMke wa Kusaga na Diamond wamiliki Wasafi Televisheni
Kituo hicho kipya cha televisheni kimezua mjadala kuhusu wamiliki wake tangu kilipoanza matangazo ya majaribio, baadhi wakisema kinamilikiwa kwa asilimia 100 na nyota huyo wa Bongo Fleva.www.mwananchi.co.tz
Hahaaaa haaa ...wanazingua sanaMara siwasikiii, wakati sisi ndio tumeenda kumsikiliza msanii anachoimbq