Wakati wa mimi kusema umefika

Kwa nini aseme sasa? Think abt that! Tunavyojua alishasema yote mahakamani sasa anataka kusema nini ambacho hakusema wakati ule? Kama kuna kitu alikuwa amesahau sii angekata rufaa na kwenda kukisemea mahakama ya juu zaidi?
Siku hizi umezuka mtindo wa hata mambo yanayostahili kuripotiwa Polisi au mahakamani hayapelekwi huko bali STAR TV na JF kwa nini?
While thinking: thinking, think about that.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mbowe pole sana una vijana waoga sana! Yani wote wako hoi sasa hivi na wamesahau tena hule msemo kuwa walianza na Mungu!

Sasa Leo ndio Leo mboga zinamwagwa na sahani zinavunjwa kabisa!

Inaonekana kuna kitu chadema wanaficha maana naona vijana wana pressure sana.
 
Nimesubiri aseme, sioni lolote, kumbe hana jipya tu anapima kuona kama Diallo ataongeza dau!!

Huyu anapima upepo ili aone huo upuuzi wake utapokelewa vipi na jamii! Utakubalika au atumie plan B waliyokubaliana?
 

Ndiyo maana amesema Wakati wa kusema umefika. Jambo lolote ni wakati tu. Muacheni aseme msimzibe mdomo.
Kwa mnavyotokwa mapovu wenyewe naamini mnajua kuna jambo limefichika hapo. Hata hajasema anachotaka kusema naona mnaanza kumshambulia !!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimesubiri aseme, sioni lolote, kumbe hana jipya tu anapima kuona kama Diallo ataongeza dau!!

Huyu anapima upepo ili aone huo upuuzi wake utapokelewa vipi na jamii! Utakubalika au atumie plan B waliyokubaliana?

Subiri kwani unaenda wapi?
Mtahaha sana
 

Leo baada ya huu uzi kuna watu nimewajua aisee ha!ha! kumbe wewe ndo unatumia hii ID.
 
Mkuu hapo juu nimemshauri kuwa hiyo taarifa yake ni bora aende akaitolee kule Tarime ambako ndio Marehemu Wangwe alikokuwa anakuwakilisha. Kisha akirudi hai kutoka huko aje atumegee na sisi hapa JF


Sent from my iPad using JamiiForums

Mkuu tulia mbona una pressure wakati hajaanza hata kuongea?
 
Nimeamini kuwa watanzania wengi tuko nyuma kwenye "fasihi" mnataka nini tena Deus Mallya aseme? mbona mwenye akili tayari anajua ebu angalia nukta zifuatazo:
-Kwamba hatojibu wa vile anapokea matusi, kejeli na kutishiwa kuvamiwa,
-Kwamba ameambiwa akae kimya,
-Kwamba hata wakimtisha na hata akifa ukweli utabaki kuwa ukweli na utaishi hata kwa vizazi vijavyo,
-Kwamba wanaomtisha na kumwambia akae kimya ni wafuasi wa chadema,
-Kwamba tujiulize kwa nini wanamtisha na wanamwambia akae kimya?
-Kwamba wanamwambia akae kimya ili asiseme nini?
-Kwamba kwa nini chadema wana hofu asiseme?
Tukijiuliza na tukichambua nukta hizi tutapata jibu, na kwa mwenye akili jibu liko wazi na kuwa Deus Mallya kwa maana nyingine tayari ameshasema.

 
Nenda kwa DPP maana Serikali kwa niaba ya Jamhuri ndiyo iliyoshindwa kwenye rufaa yako...

Hakikisha unawapa ushirikiano ili kesi yako iwnze upya! Na kama walikosea kukutia hatiani muda mzuri ni sasa...

Otherwise kama kuna jipya inatakiwa intelijensia ya nchi ndio ifanye kazi na sio kudakia viporojo kama walivyofanya kwa Lwakatare..

Rais ameombwa muda mrefu sana kuunda tume huru ya Kijaji ifanye uchunguzi wa matukio mengi ya vifo nchini lakini Rais na Serikali yake hawataki na wanafanya maigizo tu..
 
Ulikua wapi siku zote?, tuiite nini hii? maana ni zaidi ya njaa na unafiki uliokubuhu,
Nyie mnaoekti uana siasa ni washenzi sana......
kaka ni bora kufa maskini wa roho kuliko kuuza utu wako wa vipande vichache vya fedha - tena mbaya zaidi za umma!!

kajamaa kameshatangaziwa dili - hapo lazima kaite press ndani ya wiki hii ili kujaribu kuvuruga uchaguzi wa kitaifa - CDM
 

Hahahahaha....... Mbona umemaliza kabisa Mkuu duchi ???
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka Mtikila alipopolewa mawe alipotumwa kupeleka uzandiki wake msibani Tarime.. mshtue akusaidie pia..

Majamaa hayajiamini eti yanapima upepo..
 
kaka ni bora kufa maskini wa roho kuliko kuuza utu wako wa vipande vichache vya fedha - tena mbaya zaidi za umma!!

kajamaa kameshatangaziwa dili - hapo lazima kaite press ndani ya wiki hii ili kujaribu kuvuruga uchaguzi wa kitaifa - CDM

Mnachochekesha ni kwamba hata hamjui anachotaka kusema lakini mmeanza kusema na athari zake
 
Kiongozi tunasubiria useme unachotaka kusema.
 
Hivi jamani,,ndugu yangu Ben Saanane yuko wapi..,mbona simuoni akitokwa mapovu kwenye thread kama hizi...yaani Mzee wake anakaribia kupelekwa lupango na yeye amekaa kimya kama hayamuhusu..njoo uwaambie umma wa JF kuwa hatuhusiki na atakachosema Mallya ni uzushi.
 
Njaa ndio inaua vijana wa Tanzania na kuwafanya mazuzu. Pole sana kijana kwa kuishi ukiwa mfu kwa sababu ya njaa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…