Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,237
Godfrey Francis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Tarime amefanya mkutano wa hadhara kata ya Nyankonga na kulindwa na Polisi wa Tanzania , Wale wale waliozuia vikao vya ndani vya Chadema kwa visingizio vya uongo vya Ugaidi ILI KUIBEBA CCM
Iko haja ya kulivunjilia mbali jeshi la polisi kama alivyofanya Nyerere baada ya Uhuru
Iko haja ya kulivunjilia mbali jeshi la polisi kama alivyofanya Nyerere baada ya Uhuru