we unadhani hawakumbuki kwamba walisema hakutakua na mgao tena?ila sababu wao wanajua watanzania WAPOLE.tutawadanganya,wao,tutawaburuza,hadi wapate akili.TUPATE AKILI BASI KUWA TUMECHOKA KUDANGANYWAWakati umefika sasa kwa viongozi waliyopayuka hapo awali kuwa hakutakuwepo na mgawo wa umeme tena.wajitokeze hadharani na kufuta kauli zao.YAANI WANAONGOZA UTAFIKIRI WAMEKATWA VICHWA aaghhh
yaani kila nikikaa na kufikiria napata kizunguzungu hivi ****** na magambaz yake wanatupeleka wapi?we unadhani hawakumbuki kwamba walisema hakutakua na mgao tena?ila sababu wao wanajua watanzania WAPOLE.tutawadanganya,wao,tutawaburuza,hadi wapate akili.TUPATE AKILI BASI KUWA TUMECHOKA KUDANGANYWA
suluhisho la ka ndoa haka ni lipi?50yrs ya uhuru bado tupo gizani?magamba's oyeeeeehivi safari hii mbona hawakutangaza hadharani kama tutagawiwa umemekwa mida ile ya jack bouer?aa(24) ASEE HII NJI IMEOZESHWA KABISAAA TENA KITU CHA MKEKA, KIMYAKIMYA