Wakati umefika kwa CHADEMA kutangaza tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu kuwa tukio la kigaidi

waweza kuwa wewe ndiye mjinga , hivi ni mwananchi gani asiyewajua waliomshambulia Lissu na aliyewatuma ?
hu9o ndiyo ujinga mlio nao kama mnawajuwa kwanini hamuwataji? hata aliyepigwa anasemaga anawajua kwanini asiwataje huyo kapigwa na watu wake aliokuwa na ugomvi nao wa demu pale dodoma
 
Uchu wa madaraka unakupofusha - mbn husemi habari za kibiti, na leo mpakani mwa Msumbiji?

Watanzania hatutakubali vurugu zenu
 
Ni miaka sasa tangu Mbunge Shujaa wa taifa Tundu Anthipas Mughwai Lissu (TAML) kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku dalili zikionyesha kuhusika kwa baadhi ya watu wenye mahusiano na serikali ya CCM na vyombo vya usalama.

Ushauri wangu ni kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kulitangaza tukio hili la kipekee kuwa ni kitendo cha kigaidi dhidi ya taifa zima. Ugaidi ni ugaidi tu hata kama utafanyika au kuamriwa na rais wa nchi.

Hatua ya pili ni kuwaahidi wananchi na wanachama kuwa endapo CHADEMA watapewa ridhaa ya kuongoza dola basi watawasaka wahusika wote na kuwashtaki kwa kutumia sheria za ugaidi.

Chama pia minashauriwa kiombe rasmi msaada wa kimataifa wa ulinzi dhidi ya ugaidi unaoweza kutendwa au kuamriwa na magaidi hasa wale wenye nyadhifa za kimamlaka au hata wanaoongoza vyombo vya usalama.

Nawasilisha
Siku ukijua mahali alipo dereva wa Lisu ndiyo utajua kwamba lilikuwa tukio la kutengeneza!
 
Ni miaka sasa tangu Mbunge Shujaa wa taifa Tundu Anthipas Mughwai Lissu (TAML) kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku dalili zikionyesha kuhusika kwa baadhi ya watu wenye mahusiano na serikali ya CCM na vyombo vya usalama.

Ushauri wangu ni kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kulitangaza tukio hili la kipekee kuwa ni kitendo cha kigaidi dhidi ya taifa zima. Ugaidi ni ugaidi tu hata kama utafanyika au kuamriwa na rais wa nchi.

Hatua ya pili ni kuwaahidi wananchi na wanachama kuwa endapo CHADEMA watapewa ridhaa ya kuongoza dola basi watawasaka wahusika wote na kuwashtaki kwa kutumia sheria za ugaidi.

Chama pia minashauriwa kiombe rasmi msaada wa kimataifa wa ulinzi dhidi ya ugaidi unaoweza kutendwa au kuamriwa na magaidi hasa wale wenye nyadhifa za kimamlaka au hata wanaoongoza vyombo vya usalama.

Nawasilisha

Mnataka kupata ulinzi mpaka wa wake zenu kutoka UN, yaani upewe madalaka tena ushindwe kujilinda uombe msaada wa nni? Kama hamjajipanga subilini siku mkiwa tayari ndo mpewe nchi.
 
Magaidi wajitangaze?,hawawezi,huoni America inavyofanya ugaidi duniani kisha kupakazia wengine, ni utaratibu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Albashri pale Sudan alikuwa anatamba kuwa ni utaratibu tuu, sasa kesha geuzwa shoga bila kupenda kule walikompeleka.
Hana raha ya maisha anatamani hata Mungu amchukue tuu.
Kupewa madaraka na kuyatumia vibaya ni ujinga wa kupitiliza maana madaraka ni ya watu na wanaweza kukupora siku yeyote ile
 
Back
Top Bottom