Wakati tukisuasua kutoa vitambulisho vya taifa.......

Madhara ya kuzifungia ni makubwa kuliko kutozifungia.. Kusajili laini ni kutaka tu kuboresha mfumo wa taarifa na kuleta usalama zaidi.. Ni hili zoezi ni endelevu hivyo katika hatua hizi za awali halipaswi kuwekewa ukomo

Jr[emoji769]
Tatizo bwana yule hana uwezo wa kufikiri kama wewe unavyofikiri yeye amelenga kukusanya taarifa za watanzania wote ili aweze kurahisisha kazi ya kuwateka na kuwazibiti
 
Na hawaez funga ni wengi mnoo hawana namba naskia ni nusu ya watanzania sasa pata picha ufungie wote uone yatakayojiri
Madhara ya kuzifungia ni makubwa kuliko kutozifungia.. Kusajili laini ni kutaka tu kuboresha mfumo wa taarifa na kuleta usalama zaidi.. Ni hili zoezi ni endelevu hivyo katika hatua hizi za awali halipaswi kuwekewa ukomo

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mlevi bado hujasajili tuu!
Nitumie namba zako nikusajilie
Nasajili vipi na namba nida sina wananiambia hawaoni taarifa zangu dah na ile process kurudia ilivyo ndefu hua najishaur sijui nirudie

Haha unisajilie [emoji3] mngepatikana kama watz million 26 wenye moyo kama wako kwa twakimu za hapo juu nadhan tz ingekuwa na amani maradufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ya kuzifungia ni makubwa kuliko kutozifungia.. Kusajili laini ni kutaka tu kuboresha mfumo wa taarifa na kuleta usalama zaidi.. Ni hili zoezi ni endelevu hivyo katika hatua hizi za awali halipaswi kuwekewa ukomo

Jr[emoji769]
Nafikiri wanatumia vitisho vya deadline ili kuwavuta watu wengi wakasajili. Maana bila vitisho vya ukomo watu tusingesajili laini zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasajili vipi na namba nida sina wananiambia hawaoni taarifa zangu dah na ile process kurudia ilivyo ndefu hua najishaur sijui nirudie

Haha unisajilie [emoji3] mngepatikana kama watz million 26 wenye moyo kama wako kwa twakimu za hapo juu nadhan tz ingekuwa na amani maradufu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana jamani!!

Ndiwooo, nakusajilia kwa kitambulisho changu tuu, kesho tutakukosa huku ujue
 
Back
Top Bottom