Wakati Tanzania tukifukuza wawekezaji katika miradi mbalimbali Rwanda inawapa vivutio ili Kigali iwe jiji la Mfano Afrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,125
49,846
Nchi ya Rwanda inapambana kwa namna yeyote kuvutia Wawekezaji kwenye sekta zake za Uchumi hasa Teknolojia Ili kujifanya nchi ya mfano "Concept Country" na Jiji la Kigali kuwa Financial Hub kama Nairobi, Kasablanca, Port Lous Mauritius, Johannesburg nk.

My Take.
Tuendelee kubishana na kufanya siasa za ujinga ila nawakumbusha tu kwamba, Tanzania ni kati ya Nchi zenye ongezeko kubwa la watu, sasa kwa mwendo huu wa kufukuza wawekezaji sio muda tutakuwa kama Nigeria au Ethiopia.

"Ujamaa ni Umaskini na Ujinga"

=====

Screenshot 2023-07-03 115918.png

Two of Africa’s biggest fintech players are expanding their operations in Rwanda, which is pushing to position itself as a strategically important hub for the fintech sector by revamping its business laws and tax code. Chipper Cash, the pan-African money transfer company, opened in Kigali last week with a launch party on the sidelines of a three-day government-organized fintech conference.

Chipper’s opening came two months after Flutterwave, the online payments processor, said it received two new licenses to offer cross-border money transfers in Rwanda. Flutterwave first launched there in 2019. Among the smaller markets, Rwanda’s push to stand out appears to have less competition.

By offering operational incentives through the Kigali International Financial Centre set up in 2020 to mirror similar initiatives in Dubai, Doha, and Hong Kong, it casts itself as a mainland Africa alternative to Mauritius, which serves company offshoring interests, and Casablanca, which is more a route into North Africa.

Africa
 
Attachments

  • Screenshot_20230703-103945.jpg
    Screenshot_20230703-103945.jpg
    215 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230703-104048.jpg
    Screenshot_20230703-104048.jpg
    248.2 KB · Views: 5
Rwanda wanajitambua.wanawekeza kwa masilahi ya nchi yao tofauti na tanzania ambayo yeye hunufaisha zaidi mwekezaji.mfano mzyri ni uuzaji wa bandari
Acha uongo wewe,hakuna mwekezaji atakuja bila kumpa incentives.Kwa Tzn Serikali ikitoa incentives Wajamaa mnakurupuka ooh wanauza Nchi sijui wanagawa Mali na ujinga ujinga kama huo.
 
Nchi ya Rwanda inapambana Kwa namna yeyote kuvutia Wawekezaji kwenye sekta zake za Uchumi hasa Teknolojia Ili kujifanya Nchi ya Mfano "Concept Country" na Jiji la Kigali kuwa Financial Hub kama Nairobi,Kasablanca,Port Lous Mauritius, Johannesburg nk.

My Take.
Tuendelee kubishana na kufanya siasa za ujinga ila nawakumbusha tuu kwamba Tanzania ni Kati ya Nchi Zenye Ongezeko kubwa la watu Sasa Kwa mwendo huu wa kufukuza Wawekezaji sio mda tutakuwa kama Nigeria au Ethiopia.
"Ujamaa ni Umaskini na Ujinga"
View attachment 2677110View attachment 2677111
Sasa Rwanda hawana Cha kupoteza
 
Hivi nyie vichwa maji mmehongwa shs ngapi hadi kuendelea kuongeaongea pumba tu humu na kuwa tayari kuiuza nchi yenu kisa tu wawekezaji???

Aliyekwambia Watanganyika wanawakataa wawekezaji ni nani?

Kwani hao ndio wawekezaji wa kwanza kuja Tanganyika?

Wanahitaji baadhi ya vipengele vya uwekezaji katika Mkataba huo viboreshwe.

Sasa nyie mnaowataka hao Watanganyika wasihoji chochote na Mkataba usainiwe hivyo hivyo bila kujibu hoja zao hebu tuambieni, mna nia gani na Tanganyika yao?????
 
Kama umezoea kuhongwa ndio uishi sio wote,Nyie Wajamaa ni wapumbavu sana,Star Link mlimfukuza kama kawaida yenu na blaa blaa zenu za kijinga,huyu hapa Rwanda
 
Nchi ya Rwanda inapambana Kwa namna yeyote kuvutia Wawekezaji kwenye sekta zake za Uchumi hasa Teknolojia Ili kujifanya Nchi ya Mfano "Concept Country" na Jiji la Kigali kuwa Financial Hub kama Nairobi, Kasablanca, Port Lous Mauritius, Johannesburg nk.

My Take.
Tuendelee kubishana na kufanya siasa za ujinga ila nawakumbusha tuu kwamba Tanzania ni Kati ya Nchi Zenye Ongezeko kubwa la watu Sasa Kwa mwendo huu wa kufukuza Wawekezaji sio muda tutakuwa kama Nigeria au Ethiopia.

"Ujamaa ni Umaskini na Ujinga"

View attachment 2677110View attachment 2677111
 
Acha uongo wewe,hakuna mwekezaji atakuja bila kumpa incentives.Kwa Tzn Serikali ikitoa incentives Wajamaa mnakurupuka ooh wanauza Nchi sijui wanagawa Mali na ujinga ujinga kama huo.
Unawakumbuka TRL mkuu? Wale wahindi waliokuja kujifanya wanawekeza pale tukawapa hadi na mtaji (mkopo)mwishowe wakabeba hadi na engine zetu,tuna haki ya kuwa na mashaka mzee,siyo tukisikia tu wawekezaji tukurupukie kama mazuzu,tutahoji.
 
Nchi ya Rwanda inapambana Kwa namna yeyote kuvutia Wawekezaji kwenye sekta zake za Uchumi hasa Teknolojia Ili kujifanya Nchi ya Mfano "Concept Country" na Jiji la Kigali kuwa Financial Hub kama Nairobi, Kasablanca, Port Lous Mauritius, Johannesburg nk.

My Take.
Tuendelee kubishana na kufanya siasa za ujinga ila nawakumbusha tuu kwamba Tanzania ni Kati ya Nchi Zenye Ongezeko kubwa la watu Sasa Kwa mwendo huu wa kufukuza Wawekezaji sio muda tutakuwa kama Nigeria au Ethiopia.

"Ujamaa ni Umaskini na Ujinga"

View attachment 2677110View attachment 2677111
Kuna nchi zina jitambua africa nafikir na rwanda imo, shida ya tz urasimu mwing kias kutoboa kipengere, imagine rasilimali zilizopo tz af uchum tuliopo nao.

Ko acha watu wakatalie bandar yao bana maana uhur walipigania babu zetu ili ss tuish vema sasa changamoto bado

Tz n nch nzur sana kam tungepata viongoz madhubuti

Amna nchi ingetufuata africa.
 
Nchi ya Rwanda inapambana kwa namna yeyote kuvutia Wawekezaji kwenye sekta zake za Uchumi hasa Teknolojia Ili kujifanya nchi ya mfano "Concept Country" na Jiji la Kigali kuwa Financial Hub kama Nairobi, Kasablanca, Port Lous Mauritius, Johannesburg nk.

My Take.
Tuendelee kubishana na kufanya siasa za ujinga ila nawakumbusha tu kwamba, Tanzania ni kati ya Nchi zenye ongezeko kubwa la watu, sasa kwa mwendo huu wa kufukuza wawekezaji sio muda tutakuwa kama Nigeria au Ethiopia.

"Ujamaa ni Umaskini na Ujinga"

=====

View attachment 2677114

Two of Africa’s biggest fintech players are expanding their operations in Rwanda, which is pushing to position itself as a strategically important hub for the fintech sector by revamping its business laws and tax code. Chipper Cash, the pan-African money transfer company, opened in Kigali last week with a launch party on the sidelines of a three-day government-organized fintech conference.

Chipper’s opening came two months after Flutterwave, the online payments processor, said it received two new licenses to offer cross-border money transfers in Rwanda. Flutterwave first launched there in 2019. Among the smaller markets, Rwanda’s push to stand out appears to have less competition.

By offering operational incentives through the Kigali International Financial Centre set up in 2020 to mirror similar initiatives in Dubai, Doha, and Hong Kong, it casts itself as a mainland Africa alternative to Mauritius, which serves company offshoring interests, and Casablanca, which is more a route into North Africa.

Africa
Hatutaki kuuza bandari chief. Na wawekezaji hatuanza leo so acha kuwa kuwadi mtoto wa kiume.
 
Kama umezoea kuhongwa ndio uishi sio wote,Nyie Wajamaa ni wapumbavu sana,Star Link mlimfukuza kama kawaida yenu na blaa blaa zenu za kijinga,huyu hapa Rwanda

Sawa waachieni nchi yao kwanza inawezekana wengine sio watanganyika ndio maana mmehongwa muwapigie debe hao wawekezaji
 
Back
Top Bottom