Wakati siku za kutoa ripoti zinakaribia

Wakati siku za kutoa ripoti zinakaribia

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
862
Reaction score
1,249
20260324_151051.jpg

Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!..

1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile?

2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali?

3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na wahuni kufanya vurugu?

4. Nani alitoa silaha ndani ya JWTZ na zikatumika kuuwa askari waliokuwa wanalinda uchaguzi?

5. Nani alisukuma waumini wa kanisa la Gwajima kuchoma moto vituo vya mafuta hasa pale Shekilango?

6. Nani aliyekodisha Mungiki na kuchoma ofisi za umma kule Mwanza na Arusha?

7. Nani aliwapa UFIPA hela kusafirisha wahalifu kuja kufanya vurugu Dar Es Salaam na kuchoma9 moto magari kwenye yard pale bandarini!.

TUNASUBIRI KWA HAMU sana haya majibu.
 
Back
Top Bottom