samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,607
- 4,818
Hivi hata Mimi Mwalimu huku Iringa nilikua napiga dili gani jama?wapiga dili MTACHONGA SANA sisi tunaendelea
HAPA KAZI TU!
Hivi hata Mimi Mwalimu huku Iringa nilikua napiga dili gani jama?wapiga dili MTACHONGA SANA sisi tunaendelea
HAPA KAZI TU!
g'wadilaHabari za geita mkuu .
Wapiga dili kina Roma,Nape,Aesh,Bashe na walalahoi wengi Tanzania. Ni kweli kabisa upiga dili wao usitucheleweshe kuifikia Tanzania mpya.
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji779] [emoji779] [emoji779]Ha ha ha rafiki duuuuh hii ni ndoto kaka haitakua wala nini... CCM Chama kubwa ata wakihama watu lakimoja, CCM haitingishiki ata kidogo... Unachosema wewe ni sawa na mkia wa Ng'ombe utingishe kiwiliwili
Mlizoea vya bure bureHivi hata Mimi Mwalimu huku Iringa nilikua napiga dili gani jama?
Ngada.com ndio wanaopiga kelele haiitaji rocket science kulijua hilo.. na subiri 2020 mtapigwa chini kwa aibu... JPM endelea kusomesha watu namba hamna namna..
Wengi wenu Mwaka 2015 Mlisema JPM hatoweza kuibadili CCM, tuliohamini, tunaona mabadiliko
Ccm ipo imara na akuna cha imara kama ccm wengine wanajikongoja