Wakati si milele

Wakati si milele

Maji yanapojaa humwagika, uchungu unapozidi watu hulia, maumivu yakizidi mtu hupiga kelele
Ukimsifia mtu kuwa ana mbio sana usimsahau na anayemkimbiza..kwakuwa usingejua mbio zake bila huyo....!!!!

Kuna uprising ya wazi ndani ya chama cha mapinduzi, kuna uprising kubwa kwa wasanii, kuna uprising kubwa kwenye kila kada ndani ya jamii

Woga umewatoka watu, ni aina fulani ya mchoko... Bahati mbaya sana mchoko huo indicator imetoka ndani ya chama dume.. Watu waliandamana mioyoni Kimyakimya Kimyakimya lakini sasa sio siri tena No longer at ease n things fall apart..

Huu sio utabiri ni maono yenye kubeba uhalisia..... Muda Kama huu mwakani ccm itakuwa sio hii ya sasa iliyoshikiliwa na fito chache...
7b966bb98cd07b28fb5affeb93c42fbd.jpg
Ni suala la muda tu.
 
Hizi ngonjera ziliimbwa kitaamboo..Hakuna kipindi kibaya kama lowasa alipohama chama.
 
Siwezi kuwaamini ccm hata kama watakuja kunishuhudia wakiwa na malaika
 
Hizi ngonjera ziliimbwa kitaamboo..Hakuna kipindi kibaya kama lowasa alipohama chama.
Ni kweli kabisa lakini ngonjera muda si mrefu zitakuwa matukio halisi
 
Maji yanapojaa humwagika, uchungu unapozidi watu hulia, maumivu yakizidi mtu hupiga kelele
Ukimsifia mtu kuwa ana mbio sana usimsahau na anayemkimbiza..kwakuwa usingejua mbio zake bila huyo....!!!!

Kuna uprising ya wazi ndani ya chama cha mapinduzi, kuna uprising kubwa kwa wasanii, kuna uprising kubwa kwenye kila kada ndani ya jamii

Woga umewatoka watu, ni aina fulani ya mchoko... Bahati mbaya sana mchoko huo indicator imetoka ndani ya chama dume.. Watu waliandamana mioyoni Kimyakimya Kimyakimya lakini sasa sio siri tena No longer at ease n things fall apart..

Huu sio utabiri ni maono yenye kubeba uhalisia..... Muda Kama huu mwakani ccm itakuwa sio hii ya sasa iliyoshikiliwa na fito chache...
7b966bb98cd07b28fb5affeb93c42fbd.jpg
Mshana,inawezekana maono yako yakawa kweli lakini yangekuwa kweli zaidi kama ungewafanyia tathmini watanzania.Watanzania ni watu wa namna gani,wanajua wanachokitafuta,wanaweka kumbukumbu kwa miezi mingapi,wanafurahishwa na nini?
Leo watu wanashangilia wakiambiwa "tumenyonywa sana kwa miaka hamsini" lakini anayezungumza hayo anatoka katika Chama ambacho kimekuwa madarakani kwa miaka hamsini (kikiwa ndio msimamizi wetu wa rasilimali zetu) na watu wanasimama na kushangilia.
Waliouza nyumba za serikali ndio watetezi wetu,walionunua vivuko vibovu wanavigeuza mizinga tusihoji ndio hao wanaonyoosha nchi iliyopinda.
Binafsi naaamini kwa hulka na tabia za Watanzania CCM itatawala miaka mingine hamsini.
Kwa leo tusherehekee kwa pamoja SG katika reli,maendeleo makubwa.
 
Maji yanapojaa humwagika, uchungu unapozidi watu hulia, maumivu yakizidi mtu hupiga kelele
Ukimsifia mtu kuwa ana mbio sana usimsahau na anayemkimbiza..kwakuwa usingejua mbio zake bila huyo....!!!!

Kuna uprising ya wazi ndani ya chama cha mapinduzi, kuna uprising kubwa kwa wasanii, kuna uprising kubwa kwenye kila kada ndani ya jamii

Woga umewatoka watu, ni aina fulani ya mchoko... Bahati mbaya sana mchoko huo indicator imetoka ndani ya chama dume.. Watu waliandamana mioyoni Kimyakimya Kimyakimya lakini sasa sio siri tena No longer at ease n things fall apart..

Huu sio utabiri ni maono yenye kubeba uhalisia..... Muda Kama huu mwakani ccm itakuwa sio hii ya sasa iliyoshikiliwa na fito chache...
7b966bb98cd07b28fb5affeb93c42fbd.jpg
Nipe sababu tatu tu za kuichoka ccm hii ambayo hata makada waliozoea kupiga kwa kutumia ccm hawawezi tena..kwa sasa labda mtoke nyie mliozoea kupiga mtupishe tuingie sie tuliokuwa tukichukizwa kwa muda mrefu na ccm kwa kuachia wanachama kupiga ikiwemo wafanyabiashara ambao wana ccm kukwepa kodi kwa mgongo wa chama..kwa hiyo sioni ajabu hao wakitishia nyau.
 
Huu sio utabiri ni maono yenye kubeba uhalisia..... Muda Kama huu mwakani ccm itakuwa sio hii ya sasa iliyoshikiliwa na fito chache...
Ha ha ha rafiki duuuuh hii ni ndoto kaka haitakua wala nini... CCM Chama kubwa ata wakihama watu lakimoja, CCM haitingishiki ata kidogo... Unachosema wewe ni sawa na mkia wa Ng'ombe utingishe kiwiliwili
 
Ngada.com ndio wanaopiga kelele haiitaji rocket science kulijua hilo.. na subiri 2020 mtapigwa chini kwa aibu... JPM endelea kusomesha watu namba hamna namna..
 
Wengi wenu Mwaka 2015 Mlisema JPM hatoweza kuibadili CCM, tuliohamini, tunaona mabadiliko
 
Back
Top Bottom