t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,371
- 14,765
Una point Ila umezungumza kishabiki zaidi ,, ni kweli mafuta mengi ya zambia yanapita kwetu Ila siyo yote , Siku hizi wanachukua beira na walvis bay Namibia .Zambia diesel ni tsh 1200 kwa lita,Hali yanapitia Bandari yetu,si ajabu
Kwenye Bei umepotea kidogo, zambia diesel ni wastan wa kwacha 15600 Hadi 17000 kwa Lita ambayo ni equivalent ya shilingi za kitanzania Kama 1700 hadi 1900 kwa Lita