COMPLICATOR2011
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 253
- 35
Mkuu kama hawalipi wakati kila mwaka budget ya pango huwa inatengwa basi wafukuzwe ili iwe mfano kwao na wengine wenye tabia kama hiyo. Nimesikia watu wa NHC wanasema wameanza na watoto yaani Idara ya Habari na wataendelea na kuwatoa kwenye nyumba zao wale wote ambao hawajalipa pango ikiwemo Wizara yenyewe ya Habari na Utamaduni! Tusubiri tuone siku ambayo vifaa vya Waziri Nchimbi vitakapokuwa vinatolewa nje!Taarifa ya habari TBC1 wafanyakazi wa wizara ya vijana, habari , utamaduni na michezo leo wamejikuta wakitolewa nje ya ofisi zao na mafaili ya serikali kuzagaa kila kona kwa kile kinachosemekana ni udeni sugu wa mil391 wizara ya nyumba na makazi.
My take: kuna umhimu gani wa kuadhimisha uhuru wakati....
well done nhc.., tutasikia migwanda inaanza kumlaumu kikwete..,
Nimeona wafanyakazi wa wizara ya habari, utamaduni na michezo wakifukuzwa kwenye nyumba (ofisi) walizopanga mali ya NHC iliyo chini ya wizara ya nyumba kwa madai ya kutolipa kodi hali ambayo imepelekea deni kufika mil391. Wakati hayo yakijiri jijini Dar waziri mwenye dhamana na wizara hii alikuwa akitafuna fedha za walalahoi kwa kuzindua maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru. Sasa kama serikali ya magamba wanashindwa kulipa kodi za pango je cc wananchi tutaishi maisha gani?
Jambo hili limefikia wapi Mhe Tundu Lissu. CHADEMA inashambuliwa kushoto kulia na BAKWATA, CCM, na waheshimiwa Mafisadi.