Wakati nasoma A level mie mtoto wa mkulima

Mr Anold

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
218
Reaction score
47
Maisha ya boarding.Nakumbuka.
Sabuni ilikata, nikaenda bafuni kama kawaida kutafuta vile vipande vidogo vidogo vilivyo bakishwa na wenye nazo. Bahati nzuri nikapata mara balaa akatokea jamaa anaanza kuniuliza "Mangi mangi uliona sabuni yangu hapa?".
Mdomo ukawa mzito ghafla, maneno hayatoki ila nikajikakamua nikajibu..................
 
Ndio. Nimepigia nyeto. Lol
 
Uboysini ni noma.Nilikuwa nashangaa kukuta used ndoms bafuni,kumbe tayariiiiiii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom