Beyond Thinking
Member
- Dec 4, 2010
- 18
- 0
Ndugu wana JF wakati mwaka 2010 unaelekea mwishoni sisi tukiwa ni great thinkers tuna yapi ya kujivunia kwan chi yetu (Tanzania) mwaka huu unaokwisha. Yapi yanaweza kutufanya tuuone mwaka huu kuwa ni wa kukumbukwa?
Naomba kuwasilisha!
Naomba kuwasilisha!