Wakati mwaka unaelekea mwishoni................

Dec 4, 2010
18
0
Ndugu wana JF wakati mwaka 2010 unaelekea mwishoni sisi tukiwa ni great thinkers tuna yapi ya kujivunia kwan chi yetu (Tanzania) mwaka huu unaokwisha. Yapi yanaweza kutufanya tuuone mwaka huu kuwa ni wa kukumbukwa?
Naomba kuwasilisha!
 
Hakuna cha kujivunia kama nchi, labda mtu mmojammoja atakuwa na cha kujivunia!
 
Back
Top Bottom