Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,199
- 2,893
Udsm hawaendagi vilaza. Labda siku hizi hata mwenye div four anaenda badala ya kwenda FETAKuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Hata FETA angalau uwe na D 2 🤣Udsm hawaendagi vilaza. Labda siku hizi hata mwenye div four anaenda badala ya kwenda FETA
UDSM au jalalani? Mnamaprof wa mechanical engineering lakini mmeshindwa hata kurekebisha lift kwenye hostels zenu!Udsm hawaendagi vilaza. Labda siku hizi hata mwenye div four anaenda badala ya kwenda FETA
Fund ndoga kutoka serikalini. Sisi hatufanyi kazi ya njaa. Waiteni waliosoma VETA mana wao hata elfu 10 wanapiga kaziUDSM au jalalani? Mnamaprof wa mechanical engineering lakini mmeshindwa hata kurekebisha lift kwenye hostels zenu!
hAo wenye CV KUNA CHOCHOTE WANAFANYA??Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Kwa ccm hii cv siyo kitu muhimu ili kuaminiwa kuongoza. Ukada ndo mambo yote.Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Hukusikiw au ulikuwa monchwari. Au ulikuwa unaugulia duduMbona akiwa RC wa Dar hamkudai CV yake.?
Ndo mana nchi za kiafrika haziendelei kwa kuendekeza vilaza eti kwa vile wanaua wapinzani. Huwezi Kuta marekani kilaza kama makonda anakuwa kiongozi. Kumbuka Tanzania is among the most poorest counties hata Panadol mtu anakufa.CV yake itakusaidia nini ndugu!?
UDSM?Mmmmhfff?😎Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Kwa hiyo unataka wauaji ndo waongoze nchi. Hivi unajua makonda kaua wangapi nchi hii. Mpka marekani kapigwa ban nchi yenye intelligentsia Kali sanaHizo cv mnazo dai zimetufelisha sana,hazina tija wengine walikuwa wana siiiiv saiz ya quire 2 ila walikuwa wakiishia kufoka foka na kutoa macho.
Dogo CV inatengenezwa kwenye career na sio darasani.Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Ikusaidie nini kwenye kutafuta ugali wako!Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Huo ndio mtazamo wa mainjinia wetu. Ulaya injinia unamkuta kavaa overall, huku kwetu wazembe kama ninyi mnaenda site na suti nyeupe. Halafu mnataka msipewe mchele wenye virutubisho?Fund ndoga kutoka serikalini. Sisi hatufanyi kazi ya njaa. Waiteni waliosoma VETA mana wao hata elfu 10 wanapiga kazi
Anavaa overall kwa sababu analipwa pesa ndefu. Mavazi siyo issue. Hapa bongo hata utembee uchi Bado pesa ni kisoda. Hatukusoma ili tuteseke. Chukueni Hao watu cheap wa vetaHuo ndio mtazamo wa mainjinia wetu. Ulaya injinia unamkuta kavaa overall, huku kwetu wazembe kama ninyi mnaenda site na suti nyeupe. Halafu mnataka msipewe mchele wenye virutubisho?