Wakati Kapuya karejea kutoka India akiwa hajambo...

i agree with u ila nachoona wajaribu hamisha mind na change the topic kijanja...kapuya ofcourse kapelekwa india kwa fweza zetu sie wananchi..tena kwa fungu ambalo yawezekana limeibwa walaa halijaandikwa mahali..sasa kama ni kupewa afya it means uhai wa ule mwingine haukuwa muhimu kwa ccm??wote walikua in one ajali...ila ndio hivyo dunia haiko fair ila ccm imezidiiiiiii

watachemsha tu maana hawana bollz za kutetea hoja zao hapa. Baada ya muda wakishindwa hoja wataanza kupondea kuwa JF ni ya chadema.

Nimesubiri nione wakisema kuwa Mbowe anasomeshwa na pesa ya kodi ila kimya. Kapuya kapelekwa kwa pesa ya serikali na kwao hilo hawaoni. Mwanzoni nilitaka kukubali waliposema kuwa nikapimwe akili ila sasa nimeanza kuamini kuwa kuna wengi on that side wanahitaji hiyo service
 
Ngoja tusubiri ajali nyingine....(wa kunilaumu kwa kusema hivyo na anilaumu tu lakini mie ni muumini wa kumwombea adui yangu mabaya,na adui zangu namba moja ni mafisadi)
 
ha haha umeniua mbavu uliposema ulitaka kweli ukachekiwe akili..ila on their side hata wakienda chekiwa akili it wont help as sijui ndo tuseme hata akili zao zimechezewa or ndo vile tuu ubishi wa kutotaka kubali facts..niliwahi sikia kuna watu wana kipaji cha ubishi wanaweza bishia hata radio n taarifa ya habari..so wanaweza bisha pia kuwa Nyerere hajafa watakwambia he only resigned
 
Ngoja tusubiri ajali nyingine....(wa kunilaumu kwa kusema hivyo na anilaumu tu lakini mie ni muumini wa kumwombea adui yangu mabaya,na adui zangu namba moja ni mafisadi)

si ndo kama hiyo imetokea..ol they cud sey n speak of ni kuwa ajali imetokea n waziri..amefariki sina mtu ukienda haraka haraka on that waweza dhania kuwa ni only waziri aliyepoteza uhai in that ajali...kumbe dooh kuna wengine na hata majeruhi..hatujui habari zao kwa sasa n no coverage has been done on them..unless majeruhi mwingine afariki ndio tutasikia tena kijuu juu..majeruhi mwingine aaga dunia..serikali yatoa pole kwa familia yake ilikua na mipango ya kumsafirisha aletwe muhi2 kwa matibabu..nyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
wat m trying to say kwa uchungu ni kuwa they only think of their matumboz with familiaz..so if hauko close or related or hujuani nao..wat will help u n saidia you ni only ur money na nduguzo..forget about the serikali uliyoipigia kura...we na serikali mwajauana only kila baada ya miaka mitano thats it..
 
Huyo kada(RIP) angepelekwa nje kutibiwa tungekuwa wa kwanza kuuliza kapelekwa na pesa za CCM ama serikali and so forth.

By the way kama sikosei, Dereva(RIP) wa Mama Mbatia alizikwa Mburahati siku ya ijumaa walisafirishwa wote kutokea iringa na ndege ya serikali angalia kwenye post mojawapo inayomhusu Mama Mbatia.
 
ha haha umeniua mbavu uliposema ulitaka kweli ukachekiwe akili..ila on their side hata wakienda chekiwa akili it wont help as sijui ndo tuseme hata akili zao zimechezewa or ndo vile tuu ubishi wa kutotaka kubali facts..niliwahi sikia kuna watu wana kipaji cha ubishi wanaweza bishia hata radio n taarifa ya habari..so wanaweza bisha pia kuwa Nyerere hajafa watakwambia he only resigned

yaani we acha tu, watu walikuja na mioto migeni hapa kuwa inabidi mimi nipimwe akili (na kwa sababu wengine nawaheshimu kwa elimu yao ya darasani) -ilikuwa kidogo nikubali ushauri wao.

Baada ya muda mfupi nimegundua kuwa hiyo side ina watu kibao inabidi wao ndio wapimwe akili au waulizwe kuleta uthibitisho wa tarehe zao za kuzaliwa maana inatisha ndugu yangu! lol
 
Huyo kada(RIP) angepelekwa nje kutibiwa tungekuwa wa kwanza kuuliza kapelekwa na pesa za CCM ama serikali and so forth.

By the way kama sikosei, Dereva(RIP) wa Mama Mbatia alizikwa Mburahati siku ya ijumaa walisafirishwa wote kutokea iringa na ndege ya serikali angalia kwenye post mojawapo inayomhusu Mama Mbatia.

kumbe nawewe mwenyewe huna uhakika with wat ur saying..i want mwenye uhakika...kama jinsi tulivyowezeshwa kujua kila kitu abt waziri..kuanzia familia,wameenda kuchukua mwili n.k if wataka tetea kuwa wat has been done was like equality to all the souls(may them rest in peace)n je wat abt the majeruhiz?
n kweli it is pocbo..kiongozi wa geshi ra porisi anadhubut kusema dereva wa ajali hiyo hakufa..bali alipona lakini alitoroka...kha kha khaa teh teh teeheeee our serikali is full of utani
 
I was too lazy kwenda nakuanza kupekua post after post, lakini hii hapa post yenyewe

Taifa lamlilia Mbatia

na Happiness Katabazi na Godfrey God

VIONGOZI wakuu wa kitaifa serikalini, wanasiasa kutoka vyama mbalimbali vya siasa na wananchi wa kawaida wameshikamana kuomboleza kifo cha Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Salome Joseph Mbatia, aliyefariki dunia juzi wilayani Njombe kwa ajali ya gari.

Vilio vya kwikwi na hali ya simanzi jana vilianikiza nyumbani kwa marehemu jijini Dar es Salaam na eneo zima la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (Terminal One), kabla, wakati na baada ya mapokezi ya mwili wa aliyekuwa naibu waziri huyo.

Rais Jakaya Kikwete ndiye aliyewaongoza viongozi wakuu wote watatu wa kitaifa na mamia ya waombolezaji wengine wakiwamo makada wanawake wa Chama Cha Mapinduzi waliokuwa wamevalia mavazi rasmi ya chama hicho katika kuupokea mwili wa Mbatia.
Mwili wa kiongozi huyo aliyepata kuwa Mweka Hazina wa Taifa wa CCM, ulifikishwa uwanjani hapo majira ya saa 7:59 kwa ndege ya serikali aina ya Fokker 50, yenye namba za usajili 5H-TGH ambayo pia ilibeba mwili wa dereva wa naibu waziri huyo, Anakleti Mogella, ambaye naye alipoteza maisha katika ajali hiyo hiyo.
Ilipotua na kusimama, wahudumu walifungua mlango na aliyetangulia kushuka alikuwa ni mume wa marehemu, Dk. Joseph Mbatia, aliyekuwa ameongozana na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani, ambao waliondoka Dar es Salaam jana asubuhi na ndege hiyo kuufuata mwili huo.
 
...serikali inabeba mizigo ya kulipia mamilioni kama haya kwa ajiri ya akili fupi tuu ya failure policy zake za afya ambazo hazifanyi kazi hazitawahi kufanya kazi,weka health insurance policy then kila kitu kitakuwa fine kuliko kujidai unatoa huduma za afya huku ukitumia billions kupeleka wengine nje na wengine hata asprin hawana....insurance policy itafanya watu waimprove huduma zao to compete for the money from insurance companies na insurance companies will make money from policy holders,its a win win for bor both sides
 
Hii ilikuwa 2007 miaka minne baadae kaona yeye akamalize kabint ka miaka 14 kwa grid ya taifa! Kweli duniani kuna mambo.
 
Back
Top Bottom