Wakati huo tulipata wageni mbalimbali

Wakati huo tulipata wageni mbalimbali

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,634
Reaction score
89,398
images (2).jpeg
 
Labda nimkumbuke kwa kunifanya ninywe chai bila sukali wakati uwezo wa kununua nipo nao
Hiyo ni kwa maana yako!
Ila mi naelewa kila mtu huja na yake hivyo hata huyu aliopo sasa nitakuja mkumbuka tu.. sio kwamba unakunywaga bia ati hauwezi kumiss soda! Kila kitu na mienendo yake lkn jamaa alikuwa njema hasa kimataifa.
 
Kiongozi jukumu lake LA kwanza ni kutahisisha maisha ya watu,so watu kunywa bia ni kwamba maisha yao yaliimarika.

Unachosema kuwa hata huyu watu watakuja kumkumbuka ni kweli lakini atakumbukwa kwa kiwango kidogo,ndio maana hata baada ya kutoka mkapa watu hawakumkumbuka sana sababu kikwete alifanya watu wafurahie maisha zaidi.
Tatizo moja la watanzania wengi wanapenda watu walingane kivipato kwamba wewe ukikosa nami nikose.Kitu wanashindwa kufahamu ni kuwa dunia inabadilika kwa kasi sana tupo kwenye dunia ya ubepari-na muda utafika tu hizi gap zitaongezeka maradufu.

Sasa hivi tunawacheka Kenya kuwa utofauti wa vipato ni Mkubwa sana,hatujui ya kwamba huu ubepari wenyewe ulianza mapema tofauti na sisi.
 
Labda nimkumbuke kwa kunifanya ninywe chai bila sukali wakati uwezo wa kununua nipo nao
mfano bahati mbaya 2035 unaumwa kisukari,unadhani utaacha kumumbuka!!!!

ni situation ndio zinatufanya tukumbuke nyuma,sio wakati.
 
Back
Top Bottom