Wakandarasi wampa Tuzo Maalum Rais Samia, Waziri Ulega asema rekodi yake imetambulika kimataifa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
RAIS Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo maalumu na wakandarasi nchini kwa kuthamini mchango wake na hatua alizochukua kwenye sekta ya ujenzi tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita.

Rais Samia alipewa tuzo hiyo ambayo ilipokewa kwa niaba yake na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, katika tukio lililofanyika katika ukumbi wa The Dome, Masaki jijini Dar es Salaam.

Akizungumza katika tukio hilo, waziri Ulega alisema uamuzi wa kumpa tuzo Rais Samia ni stahiki kwa sababu mambo ambayo ameyafanya kwenye wakati wake wa urais si siri na yanaonekana.

WhatsApp Image 2025-08-21 at 17.59.13_4d7525e1.jpg

WhatsApp Image 2025-08-21 at 17.59.12_97dbb64d.jpg
Akizungumza kwa kutoa mifano, Ulega alizungumzia ujenzi mkubwa wa barabara na madaraja ambao umefanyika katika kipindi cha miaka minne iliyopita, akisema ni kiwango cha rekodi.

“ Wakati mwingine sisi ambao tunaishi Tanzania hatuoni au tunaweza kubeza kile kilichofanyika. Lakini juzi hapa, Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amesema siku hizi anapotea akija Dar es Salaam kwa sababu ya mabadiliko makubwa ya kimiundombinu yanayoendelea.

“ Kigoma zamani kulikuwa mbali sana lakini sasa kuiunganisha Kigoma na Tanzania zimebaki kilomita kama saba tu. Madaraja mengi yamejengwa ndani ya awamu ya kwanza kuliko katika awamu moja nyingine yoyote katika historia yetu,” amesema Waziri Ulega.
WhatsApp Image 2025-08-21 at 17.59.12_85fa7614.jpg
Kuhusu uwezeshaji wa wakandarasi wazawa, Ulega aliwaambia wakandarasi kwamba kitendo cha serikali ya Rais Samia kuongeza wigo wa kupata miradi ya ujenzi ambapo sasa wazawa wanapewa upendeleo kwa miradi ambayo thamani yake haizidi shilingi bilioni 50, kimeonyesha pia kwamba serikali inatamani kuona wazawa wakipata kazi zaidi.

Kuhusu mchango wa sekta ya ujenzi nchini, Ulega alisema sasa imekuwa mojawapo ya misingi muhimu ya maendeleo ya nchi ikichangia asilimia 16 ya Pato la Taifa huku takribani ajira milioni 1.8 zikizalishwa kupitia sekta hiyo.

Wakati huohuo, Ulega jana ametoa maagizo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Musonde, na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mohamed Besta, kukaa na wataalamu na kutoa mapendekezo kwake kuhusu hatua za kuchukua ili kupunguza foleni katika eneo la Kamata na Buguruni jijini Dar es Salaam.

Ulega alisema maeneo hayo mawili yamekuwa mojawapo ya chanzo kikubwa cha foleni katikati ya jiji na kusema kukamilika kwa ripoti hiyo kutaifanya serikali ichukua hatua za haraka ili kuondokana na hali hiyo.

Akizungumza katika tukio hilo, Mkurugenzi Mkuu wa Chemba ya Wakandarasi na Miundombinu (CCIZ), Steven Mkomwa, alisema sekta hiyo imepata maendeleo makubwa katika miaka ya karibuni ingawa kuna changamoto zinahitaji kufanyiwa kazi
 
Kumamae zao nani kawapa hizo akili za kutoa tuzo, nchi hii usenge umezidi kila kona wanajifanya wapambe wa mtawala.

Mimi ni mhandisi ninaelewa kilio cha wakandarasi kwa kuchelewa malipo na kuingizwa kwenye madeni ambayo yametufilisi kwa 90% ya wakandarasi wazawa ila kwakuwa wanataka sifa wamejipendekeza kutoa tuzo.

Tuzo hiyo ni zengwe la CCM kujisafisha ila chini ya kapeti wanaelewa shida ipo wapi.

Huu WEHU kwa nchi yangu sijui utaisha lini, watu tunadai malipo ya miradi 2023/2024 na 2024/2025 na hadi sasa 2025/2026 alafu kmmke.
 
Uhuni tu huo.
Leo ni siku ya kumsikiliza mzalendo Polepole.

#KataaWahuni
 
Safi sana,Mama tunamkubali,Mungu amlinde na wanaoumia roho zao,kwa kuona maendeleo.
 
Wakandarasi gani kama hao wakandarasi wengi wana certificate kibao hazijalipwa wanaleta drama
 
Kumamae zao nani kawapa hizo akili za kutoa tuzo, nchi hii usenge umezidi kila kona wanajifanya wapambe wa mtawala.

Mimi ni mhandisi ninaelewa kilio cha wakandarasi kwa kuchelewa malipo na kuingizwa kwenye madeni ambayo yametufilisi kwa 90% ya wakandarasi wazawa ila kwakuwa wanataka sifa wamejipendekeza kutoa tuzo.

Tuzo hiyo ni zengwe la CCM kujisafisha ila chini ya kapeti wanaelewa shida ipo wapi.

Huu WEHU kwa nchi yangu sijui utaisha lini, watu tunadai malipo ya miradi 2023/2024 na 2024/2025 na hadi sasa 2025/2026 alafu kmmke.
Wakandarasi kutoka chama gani vyama si viko viwilli wataje ivyo vyama walipe madeni waache drama mfuko road fund kama umekufa
 
Hongereni wakandarasi wa mama na CCM.

Hakika chema chajiuza kibaya chajitembeza.
IMG_20240722_170024.jpg
IMG_20240722_170027.jpg
 
Kuna siku tutegemee malaya wampe cheti cha mchepuko bora wa msoga
 
Wakandarasi kutoka chama gani vyama si viko viwilli wataje ivyo vyama walipe madeni waache drama mfuko road fund kama umekufa
Wameshakuwa wasenge wasenge sana ila najua hawa wanatoka kwenye kundi la wale jamaa wenye bank yao pale mwenge. Hao ndio walileta usenge kuwa wakandarasi tumempatia samia helkopta ya kampeni 2025...unakumbuka hiyo?
 
Wale jamaa namkumbuka huyo jamaa lakini huyo jamaa kwanini anawasemea wakandarasi wakati wana vyama vyao kama kile kinaitwa KATA na TUCASA
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo maalumu na wakandarasi nchini kwa kuthamini mchango wake na hatua alizochukua kwenye sekta ya ujenzi tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita.

Rais Samia alipewa tuzo hiyo ambayo ilipokewa kwa niaba yake na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, katika tukio lililofanyika katika ukumbi wa The Dome, Masaki jijini Dar es Salaam.

Akizungumza katika tukio hilo, waziri Ulega alisema uamuzi wa kumpa tuzo Rais Samia ni stahiki kwa sababu mambo ambayo ameyafanya kwenye wakati wake wa urais si siri na yanaonekana.
Akizungumza kwa kutoa mifano, Ulega alizungumzia ujenzi mkubwa wa barabara na madaraja ambao umefanyika katika kipindi cha miaka minne iliyopita, akisema ni kiwango cha rekodi.

“ Wakati mwingine sisi ambao tunaishi Tanzania hatuoni au tunaweza kubeza kile kilichofanyika. Lakini juzi hapa, Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amesema siku hizi anapotea akija Dar es Salaam kwa sababu ya mabadiliko makubwa ya kimiundombinu yanayoendelea.

“ Kigoma zamani kulikuwa mbali sana lakini sasa kuiunganisha Kigoma na Tanzania zimebaki kilomita kama saba tu. Madaraja mengi yamejengwa ndani ya awamu ya kwanza kuliko katika awamu moja nyingine yoyote katika historia yetu,” amesema Waziri Ulega.
Kuhusu uwezeshaji wa wakandarasi wazawa, Ulega aliwaambia wakandarasi kwamba kitendo cha serikali ya Rais Samia kuongeza wigo wa kupata miradi ya ujenzi ambapo sasa wazawa wanapewa upendeleo kwa miradi ambayo thamani yake haizidi shilingi bilioni 50, kimeonyesha pia kwamba serikali inatamani kuona wazawa wakipata kazi zaidi.

Kuhusu mchango wa sekta ya ujenzi nchini, Ulega alisema sasa imekuwa mojawapo ya misingi muhimu ya maendeleo ya nchi ikichangia asilimia 16 ya Pato la Taifa huku takribani ajira milioni 1.8 zikizalishwa kupitia sekta hiyo.

Wakati huohuo, Ulega jana ametoa maagizo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Musonde, na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mohamed Besta, kukaa na wataalamu na kutoa mapendekezo kwake kuhusu hatua za kuchukua ili kupunguza foleni katika eneo la Kamata na Buguruni jijini Dar es Salaam.

Ulega alisema maeneo hayo mawili yamekuwa mojawapo ya chanzo kikubwa cha foleni katikati ya jiji na kusema kukamilika kwa ripoti hiyo kutaifanya serikali ichukua hatua za haraka ili kuondokana na hali hiyo.

Akizungumza katika tukio hilo, Mkurugenzi Mkuu wa Chemba ya Wakandarasi na Miundombinu (CCIZ), Steven Mkomwa, alisema sekta hiyo imepata maendeleo makubwa katika miaka ya karibuni ingawa kuna changamoto zinahitaji kufanyiwa kazi
Kama ni hivyo inakuwaje Trump hamfahamu Samia!
 
Anastahili maana kabla yake kandarasi zote zilikuwa za Wachina ila Kwa Sasa Wazawa wako front.
 
Back
Top Bottom