waziri ulega

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega atangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja Malinyi na Ulanga

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika wilaya za Malinyi na Ulanga, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi. Miradi hiyo inahusisha ujenzi wa barabara ya...
  2. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Mke wa Waziri Ulega 'alimchangia' Mama Diamond Milioni 16 kwenye sherehe. Familia za Mawaziri kumbe wana hela kiasi hiki?

    Wakuu, Hapa ilikuwa kwenye sherehe ya Birthday ya Mama Diamond Sanura Kassim (Mama Dangote) siku 3 zilizopita. Akimama hawana vifaa tiba hospitali, wanafunzi wanakaa chini, nchi iko hoi lakini mke wa Waziri Abdallah Ulega (Mariam Ulega) ndio huyu hapa! Naelewa kwamba huenda ana vyanzo vingine...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Waziri Ulega atoa miezi mitatu kwa Mkandarasi wa Barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100) kukamilisha Kilemeta 50

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100), kuhakikisha wanakamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kuufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi na kuunganisha Wilaya mbalimbali za mkoa huo. Ulega ametoa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Tanzania inapendeza, ziko picha Watanzania wamepiga kwenye barabara na madaraja yetu, unaweza ukadhani uko Dubai

    Wakuu, Ni ya kweli haya au ndo Ulega anapenda kujiamulia mambo :BBRUHH: Sasa kwa nini watu wanasafiri kwenda Dubai wakati tayari tuko Dubai, Na lile vumbi la Nanjilinji je? -------------- Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb.), akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega atoa Siku 14 kwa TANROADS kumpata Mkandarasi Barabara ya Kisarawe - Maneromango, asisitiza utekelezaji wa Haraka

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kukamilisha mchakato wa kumpata mkandarasi wa ujenzi wa barabara ya Kisarawe hadi Maneromango, wilayani Kisarawe, ndani ya wiki mbili, akisisitiza umuhimu wa kuharakisha utekelezaji wa mradi huo bila kukiuka...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega amsimamisha kazi bosi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)

    SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu dhidi yake na viongozi wengine wa taasisi hiyo. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza hatua hiyo jijini Dar...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Ulega: Natoa miezi miwili ya mwisho kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta kama mkataba unavyosema la sivyo serikali itauvunja na kutafuta mkandarasi mwingine. Akizungumza wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya barabara...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Ulega aridhishwa na kasi ya ujenzi wa miradi ya dharura

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amebaini maendeleo chanya katika ujenzi wa madaraja ya dharura mkoani Lindi, wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo ambayo imefikia karibu asilimia 90 ya utekelezaji wake. Madaraja haya yamejengwa katika maeneo yaliyoathirika sana na mvua, ikiwemo Somanga...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Asimamisha Watumishi wa TANROADS Kwa Uzembe Kwenye Mizani ya Mikese

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kusimamishwa kazi watumishi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) waliohusika na uzembe wa kutoshughulikia tatizo la mizani ya Mikese mkoani Morogoro, jambo lililosababisha foleni na usumbufu mkubwa kwa wananchi.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wampa Tuzo Maalum Rais Samia, Waziri Ulega asema rekodi yake imetambulika kimataifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo maalumu na wakandarasi nchini kwa kuthamini mchango wake na hatua alizochukua kwenye sekta ya ujenzi tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita. Rais Samia alipewa tuzo hiyo ambayo ilipokewa kwa niaba yake na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, katika...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Ulega: Nikishindwa Ubunge Mkuranga haitotawalika

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi Mkoa huko Pwani. Kuna namna huko Pwwani vita ya madaraka imekuwa kubwa...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega: Miaka michache ijayo Tanzania itajitegemea kikamilifu utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya ujenzi nchini ni matokeo ya maono, juhudi, ubunifu na rasilimali za Watanzania wenyewe. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika hafla ya Jukwaa la Fikra iliyofanyika tarehe 22 Juni 2025 katika...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Kufanya shughuli za kijamii (kwaya, maulid, picha) Daraja la Magufuli lazima uombe kibali

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema watakaohitaji kutumia Daraja la JP Magufuli kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video za muziki watalazimika kuomba kibali Wizara ya Ujenzi kupitia Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza. "Hatutakataza kufanya kazi zozote za kijamii kama vile kupiga picha...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ulega ambana Mkandarasi barabara kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ), amtaka akabidhi barabara Disemba 2025

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi-TPDF) yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Disemba, 2025. Ulega ametoa maelekezo hayo...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega: Hatutaongeza muda kwa mkandarasi atakaechelewesha mradi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza msimamo wa Serikali wa kutomwongezea muda mkandarasi atakaechelewesha kukamilisha mradi. Waziri Ulega ameyasema hayo leo tarehe 26 Mei 2025 alipokuwa akikagua ujenzi wa barabara ya Mitesa-Masasi (km 60) yenye thamani ya Shilingi Bilioni 92 na...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega akagua mradi wa ukarabati barabara ya Mtwara-Mingoyo wa thamani ya Shilingi Bilioni 152 na Mingoyo-Masasi Bilioni 249

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza TANROAD na TARURA kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi ili waweze kutoa ajira kwa wananchi wazawa pindi wanapotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja. Waziri Ulega ametoa agizo hilo tarehe 27 Mei 2025 alipotembelea na kukagua mradi wa...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali yashtuka na DART: Waziri Ulega awalipua wakandarasi wa barabara ya mwendokasi

    At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi. Akiongea na makndarasi, katika mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makadarasi CRB, waziri Ulega ameema...
Back
Top Bottom