Wakandarasi wa Kichina wanatuharibia dada zetu

Wakandarasi wa Kichina wanatuharibia dada zetu

Kichwa cha Uzi kimekosewa ulitakiwa kusema hivi
DADA ZETU WANAWAHARIBU WACHINA maana hao dada zetu siku hizi ni bidhaa mbovu
 
Wachina ni aina ya East Asians(Wachina,Japan na Korea) ambao wana Apocrine sweat glands chache sana kiasi kwamba huwa hawana jasho kali kama sisi.

Labda useme bad mouth breath kutokana na akiwa huku anachagua chakula kwa hiyo anakula Chakula kilekile kila siku au kula vyakula vya spicy sana.Au Hawaogi.
Kweli kabisa mkuu, yani wanaharufu kali ajabu siwake wala si waume!
 
Kumbuka kwamba watanzania walioko nje ya nchi wengi wao ni wanaume na hawajaoa.
 
Getting married isn’t cheap in China. In Da’anliu, a small farming village outside Beijing, the local “bride price” — the fee that a groom’s family pays to a bride’s in advance of their nuptials — recently breached the $30,000 mark. That’s extreme for a village where incomes average $2,900 per year. So, this summer, local officials decreed that bride prices and associated wedding expenses shouldn’t exceed $2,900. Violators will be treated as human traffickers.
 
Pumbavu sana we mkuu!!Nimecheka sana kwa komenti yako hii.Hahahahaha!!!
Kila walipowahi jenga nyumba za project kubwa kubwa utakuta vijukuu ambao ni waswahili/wachina lakini vinagonga kigogo kuliko mzee Malecela wa .....Mvumi mission mlibhaswanooo?
 
Back
Top Bottom