Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,046
Wanajamvi, nimekuwa nawaza sana kuhusiana na hawa wanajiita wakandarasi wa Kichina ambao wanajenga barabara na miradi mbalimbali hapa nchini.
Sijawahi waona wakandarasi wa kike ila ni wa kiume tu.
Maswali yangu ni haya:
1: Je, hakuna wataalamu wa kike wa Kichina?
2: Hawa wanaume wa Kichina hawana wake zao? Na kama wanao, Je kwanini wasiruhusiwe waje nao huku?
Wanawaharibu dada zetu.