Wakandarasi wa JF mnasemaje maoni yenu?

Wakandarasi wa JF mnasemaje maoni yenu?

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
2,286
Reaction score
4,604
kwa hili daraja linalotengenezwa huko kiyegea njia kati litaweza stahimili au serikali itegemee hasara tena? Binafsi inanipa ugumu kuamini ubora wake..
IMG-20200304-WA0056.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuwa wamecalculate “Q” wameona volume inatosha kupitia kwenye culvert


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa la muda wote litajengwa wapi wakati ilo lipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni swali zuri, hilo ni kalavati la muda na wala si daraja, lilijengwa kwa ajili ya kukwamua magari yaliyokuwa yamekwama eneo la janga la kuzolewa kwa kalavati. Hapo lilipo hilo kalavati la chuma ndipo patajengwa box culvert ya zege ya kudumu.

Kwa sasa imeshajengwa barabara ya mchepuo kwa ajili ya kupita magari wakati ikijengwa culvert ya kudumu. Tayari barabara hiyo imeanza kupitisha magari leo.
 
Ni swali zuri, hilo ni kalavati la muda na wala si daraja, lilijengwa kwa ajili ya kukwamua magari yaliyokuwa yamekwama eneo la janga la kuzolewa kwa kalavati. Hapo lilipo hilo kalavati la chuma ndipo patajengwa box culvert ya zege ya kudumu. Kwa sasa imeshajengwa barabara ya mchepuo kwa ajili ya kupita magari wakati ikijengwa culvert ya kudumu. Tayari barabara hiyo imeanza kupitisha magari leo.
Sawa lishasombwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daraja Litajengwa Upya, Ingawa Uchelewashaji Wowote
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Katoa Onyo!!!!
Kwa Chief executive Wa TANROAD
Waziri Wa Ujenzi
 
Back
Top Bottom