Wakala wa Till za Tigo wa Sumbawanga anasumbua wateja

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
607
553
Habarini,

Napenda kuushauri uongozi wa Tigo kulifanyia kazi swala la huyu wakala wa Till za Tigo pesa kwani amekuwa anatusumbua sana kwenye kupata hizo line.

Ni mara nyingi tu anatuzungusha unaenda pale ofisi kwake anakwambia hayupo yuko kwenye ibada za kichungaji kiasi kwamba wafanyabiashara tunachoka kufuatilia line zetu hadi zinafungwa kisha anakwambia line imefungwa na huwezi kupatiwa nyingine kwani umeshindwa kulipia wakati yeye ndiyo tatizo na madharau juu.

Ninashauri Tigo mmnyang'anye huyu wakala kwani anawakosesha wateja na inawezekana anawahujumu kwa kushirikiana na makampuni mengine na mrudishe huduma hii kwenye ofisi zenu za huduma kwa wateja mbona airtel, halotel,vodacom, nk wanasajili TILL wao wenyewe.

Nawasilisha
 
Tigo wamesitisha kutoa Till za uwakala nadhani huu ni mwezi wa 3 sasa kama sikosei
 
Habarini,

Napenda kuushauri uongozi wa Tigo kulifanyia kazi swala la huyu wakala wa Till za Tigo pesa kwani amekuwa anatusumbua sana kwenye kupata hizo line.

Ni mara nyingi tu anatuzungusha unaenda pale ofisi kwake anakwambia hayupo yuko kwenye ibada za kichungaji kiasi kwamba wafanyabiashara tunachoka kufuatilia line zetu hadi zinafungwa kisha anakwambia line imefungwa na huwezi kupatiwa nyingine kwani umeshindwa kulipia wakati yeye ndiyo tatizo na madharau juu.

Ninashauri Tigo mmnyang'anye huyu wakala kwani anawakosesha wateja na inawezekana anawahujumu kwa kushirikiana na makampuni mengine na mrudishe huduma hii kwenye ofisi zenu za huduma kwa wateja mbona airtel, halotel,vodacom, nk wanasajili TILL wao wenyewe.

Nawasilisha
Lain unapata kidigital kumfata ofisini kwake mnapenda, na lain unapata popote siyo mpaka yeye tu
 
Back
Top Bottom