Wakala m.pesa

kwaji

Senior Member
Nov 3, 2013
186
32
Hivi wakala unabima ya biashara yako jiunge na chama ufaidi kazi yako ya uwakala piga no 0715 877933
 
Chama cha mawakala kimeanzishwa kwahiyo kinampango wa kutoa elimu ya huduma uwakala pamoja kuwakatia bima mawakala juu UVAMIZI pia kinanzisha sakosi ya kumkopesha mawakala tu
 
chama cha mawakala kimeanzishwa kwahiyo kinampango wa kutoa elimu ya huduma uwakala pamoja kuwakatia bima mawakala juu uvamizi pia kinanzisha sakosi ya kumkopesha mawakala tu

ila hapa si pahala pake
 
Ndiyo kwenye watu wengi kuliko jukwa lolote kwa utafiti wangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom