Hivi mbona hakuna aliyetudediketia movie?
Basi napendekeza tuangalie ile " I think I love my WIFE" nadhani hii itakuwa nzuri kwa ladies pia
Mi nadhani ya A FISH CALLED WANDA itatufaa zaidi!
Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers........
am I smelling FISH here?
Nothing but Love Preta...
I have had a chance of meeting many JF members na pamoja na post nyingi tunazotuma, all of them have been very loving respecting and more important watu wenye maadili sana... sijawahi kukutana na incidence ya ajabu wala vituko nikiwa na wa-JF. All consultations tunazofanya kuhusu kazi na maendeleo zimezaa matunda na hakuna cha kuongeza... WE HAVE USED JF EFFECTIVELY HASA KWENYE MAENDELEO
nANI kama wadada wa JF?? always good advisors na wametuvumilia sana na valeur na red label zetu
Actually tungeweza kuifanya hii wiki iwe ya heshima upendo na amani kwa wana JF wote... ni wiki spesho sana kwa watanzania
Thanks a million Preta
u have tried them.....?:kiss:
what do you think Kaizer???? offcourse they are nice, just trust me!!!!:kiss:
The thing is I have not been able to think the thinking, worrying for the unthinkable, unless you help me think otherwise?:kiss:
So for me to trust you....please do the needful...
Chairman at work? Orait! Am outta here!
Mdogo wangu JS...
we appreciate our sisters alot, i know i can count on JF ladies nikiwa na raha au shida
Can i get Amen!!???
you can count on me for the help:kiss:, but always try to think twise in everything you do. sawasawa???????????The thing is I have not been able to think the thinking, worrying for the unthinkable, unless you help me think otherwise?:kiss:
So for me to trust you....please do the needful...
you can count on me for the help:kiss:, but always try to think twice in everything you do. sawasawa???????????
The thing is I have not been able to think the thinking, worrying for the unthinkable, unless you help me think otherwise?:kiss:
So for me to trust you....please do the needful...
ninasikia kuwapenda sana leo
Mi nadhani ya A FISH CALLED WANDA itatufaa zaidi!
PJ, I am flattered...
- Hi Preta, thats good of you!
- BTW, nimeshapokea TOKEN uliyomwagiza dereva wako, ambayo umeeleza wazi kwamba unanikabidhi mimi kwa niaba ya WAKAKA wote waJF!..GUYS out there, its a very good GIFT that we have received from this passionate girl!
- Nitamkabidhi ACID aizungushe kwenu nyote mikoani, maana anakutana na almost 62% ya members!, then mwisho wa siku itabaki kwa Invisible!
- Preta, thanx for at least airing out this heavy-weight congrats. Wengi tumekuwa tunataja watu wachache(egKaizer...Xpin...Acid,Finest, PakaJimmy,Teamo) kuwa tunawa-mind, but you have been exeptional and exclusive!
- For that i love you, and continue going sweeter!