Demand zipi ambazo ni za ajabu? kumbuka ukishaumwa na nyoka hata nyasi ikikugusa unashitukaHuwa hawajiamini, wanapenda demands za ajabu ajabu na pia hawamuamini mtu...
Demand zipi ambazo ni za ajabu? kumbuka ukishaumwa na nyoka hata nyasi ikikugusa unashituka
Daudi, kustuka kwenyewe basi kuwe na mantiki sio kila unyasi ukikugusa basi ujue ndio nyoka... Kuna vitu vingine wanademand hata wao wenyewe hawawezi kuvifanya...
Huwa hawajiamini, wanapenda demands za ajabu ajabu na pia hawamuamini mtu...
Hehe mimi wala nimeshaona hata nyie wenyewe mademu hamjielewi so tulage bata tu and no attachments! Tukipendana saaana basi tunazaa ila ukitaka kugongwa gongwa tu mami!
Nimeona it works very well on my side.
alafu yanakuaga mabahili hayoo!dah
Daudi, kustuka kwenyewe basi kuwe na mantiki sio kila unyasi ukikugusa basi ujue ndio nyoka... Kuna vitu vingine wanademand hata wao wenyewe hawawezi kuvifanya...
Wanapenda kusikilizwa kuliko maelezo...anachokitaka kifanyike kisipingwe yani ufanye anavyotaka yeye... ukimchallenge tu anaanza kulinganisha...