Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 749
- 1,177
alafu yanakuaga mabahili hayoo!dah
Umenigusa, yaani nilianzaa ubahiri baada ya kuwa heartbroken,,,.. sometimes you give her everything,,, ukipata mdada mwingine....! unaanza kufill kuwa ndo walewale ndo maana tunajihami mapema. kama upo committed ntakuona tu,,,a au umefuata hela au malovedavi? ndo hapo sasa nakulamba hela sikupi then nakumwagilia kule nshatendwa sijari. naita mwingine