Wakaka waliowahi kuwa heartbroken

Wakaka waliowahi kuwa heartbroken

Halafu hayajali hisia za wenzao...Aliyemtenda mwingine hasira azimalizia kwangu.
 
Lakini mbona ni watu wengi tu wanaopenda kusikilizwa kuliko maelezo...

Na umefanya utafiti gani wa kitakwimu kuhitimisha kwamba 'anachokitaka kifanyike kisipingwe'? Au unaongelelea uzoefu wa watu uliotoka nao wewe tu?

Na unazungumzia kumchallenge kwenye nini/ mambo gani hasa?

Hawa watu wamezidi...Nimeona kwangu na kwa baadhi ya watu...Mfano ninasoma chuo Arusha mpenzi wangu anaishi Mtwara,anapojisikia kuniona tu anapiga cm hata saa 10 usiku kuwa kesho yake upande basi kumfuata...Ukimwambia aje yeye anakwambia ana kazi nyingi...Ukijaribu kumweleza labda una ratiba zimekubana ye anaconclude tu kuwa una bwana mwingine...anadhani alichotendewa before basi kila mtu anamlinganisha na aliyemtenda...jamani watu tupo tofauti alichokiwaza huyo mwingine sio lazima kiwe sawa na ninachowaza mie.
 
Daudi, kustuka kwenyewe basi kuwe na mantiki sio kila unyasi ukikugusa basi ujue ndio nyoka... Kuna vitu vingine wanademand hata wao wenyewe hawawezi kuvifanya...
Ok nimekuelewa uzuri wa jambo hilo ni kwamba unakuwa unamjua mgonjwa wako nini kinamsumbua,ukiona anasumbua sana sindano ya usingizi alale
 
mi niliwahi kuwa HATI BROKENI nilipokuwa darasa la sita...na yenyewe inahesabika...?
 
Lakini mbona ni watu wengi tu wanaopenda kusikilizwa kuliko maelezo...

Na umefanya utafiti gani wa kitakwimu kuhitimisha kwamba 'anachokitaka kifanyike kisipingwe'? Au unaongelelea uzoefu wa watu uliotoka nao wewe tu?

Na unazungumzia kumchallenge kwenye nini/ mambo gani hasa?

mkuu Nyani nimekuelewa sana kwa haya maswali...kula gwala
 
kama ulikuwepo best... ukitaka pesa ujipange...

Kelele zote kumbe shida ni hela tu! Si ungesema moja kwa moja? Na mtaipata, wahongaji wanazidi kuwekwa ndani nje ya nchi kwa sembe. Sijui naniwatawahonga tena. Tafuteni hela zenu bana kwana hamna vichwa vya kufikiria? Kajiuzeni basi ili tujue moja.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanakosea ukitoka kutendwa usikimbilie kuanzisha relation Mpya kile kimvuli cha X wako kitaendelea kukufata!! Jipe mda Kama 2or3 yrs then tafuta mtu! Kipindi hicho cha mpito hakikisha umevua chupi Kama watu 10 hivi tena walio kwenye relation zao,,, baada ya hapo ukija pata mwenzio utakua Sawa kbs!! Wakuu jaribuni hio njia mie ilinisadia
 
Hahaha. I hope hii pia inawafaa wanawake.

In the end inakuondolea uwezo wakuthamini mpenzi. Unaona kama no kitu tu kama kingine chochote. Inakuharibia. Kupenda kuna raha bwana. Jipe muda upone ili upende kama vile hujawahi kutendwa
 
kama ulikuwepo best... ukitaka pesa ujipange...

kama vitu anavyodemand ni reasonable si unampa, tatizo nyie mnalipiza ukishanyimwa pesa tu, naye akiomba chochote lazima ukumbushie kamchango kidogo, kwan unamuuzia mapenzi au
 
kama ulikuwepo best... ukitaka pesa ujipange...
kwan lazim umuombe hela ndgu yangu??!!mtu ukishamjua hakusumbui na mtu km huyo ucmpende saana alaf kumbuk dawa ya jeur ni kiburi akikuudh2 unamsusia wiki nzim no phon no sms mbn atanyooka2!
 
kwan lazim umuombe hela ndgu yangu??!!mtu ukishamjua hakusumbui na mtu km huyo ucmpende saana alaf kumbuk dawa ya jeur ni kiburi akikuudh2 unamsusia wiki nzim no phon no sms mbn atanyooka2!

ukisusa wenzio wataendelea kula............ watu wanavyoshoboka siku hiz
 
njoo nikunyonye paputtchi utoe stree. Una stress tu.
 
Kelele zote kumbe shida ni hela tu! Si ungesema moja kwa moja? Na mtaipata, wahongaji wanazidi kuwekwa ndani nje ya nchi kwa sembe. Sijui naniwatawahonga tena. Tafuteni hela zenu bana kwana hamna vichwa vya kufikiria? Kajiuzeni basi ili tujue moja.

Mapenzi sio pesa...Nakubaliana na kauli hiyo...Lakini mie pia ni binadamu,kuna kipindi natingwa nahitaji msaada...Sa nikiomba msada ndo unataka uanze kujua mshahara wangu ulitumika vipi hadi umeisha hadi naomba tena pesa...Hii yote eti hutaki kutumia gharama kuhudumia tena msichana ukaja tendwa tena...Sio kila msichana ni Gold digger...Msikariri jombaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom