Kuna watu wanakosea ukitoka kutendwa usikimbilie kuanzisha relation Mpya kile kimvuli cha X wako kitaendelea kukufata!! Jipe mda Kama 2or3 yrs then tafuta mtu! Kipindi hicho cha mpito hakikisha umevua chupi Kama watu 10 hivi tena walio kwenye relation zao,,, baada ya hapo ukija pata mwenzio utakua Sawa kbs!! Wakuu jaribuni hio njia mie ilinisadia
kama vitu anavyodemand ni reasonable si unampa, tatizo nyie mnalipiza ukishanyimwa pesa tu, naye akiomba chochote lazima ukumbushie kamchango kidogo, kwan unamuuzia mapenzi au
Mapenzi sio pesa...Nakubaliana na kauli hiyo...Lakini mie pia ni binadamu,kuna kipindi natingwa nahitaji msaada...Sa nikiomba msada ndo unataka uanze kujua mshahara wangu ulitumika vipi hadi umeisha hadi naomba tena pesa...Hii yote eti hutaki kutumia gharama kuhudumia tena msichana ukaja tendwa tena...Sio kila msichana ni Gold digger...Msikariri jombaa.
alafu yanakuaga mabahili hayoo!dah
kama ulikuwepo best... ukitaka pesa ujipange...
Unatingwa wewe peke yako?! Hata yeye katingwa pia! Ubinafsi tu, we unajijua fukara na mshahara wako wa kutosha kununua tecno tu, bado unakua na matumizi lukuki!! Mtachezewa sana!
Acheni us*****!
Mtoa mada nahisi kuna matakwa yako flani tu hayajatimia ndio maana uko stressed, maana unachokieleza ni too general sio tu kwa wakaka waliotendwa.
Kma yy hatakiwi kudemand ufanye apendavyo, mbona ww una demand abadilike? Punguza stress, kma hujakuta ulichokitarajia basi jaribu kwingine
alafu yanakuaga mabahili hayoo!dah
Wanapenda kusikilizwa kuliko maelezo...anachokitaka kifanyike kisipingwe yani ufanye anavyotaka yeye... ukimchallenge tu anaanza kulinganisha...
Huwa hawajiamini, wanapenda demands za ajabu ajabu na pia hawamuamini mtu...
Huwa hawajiamini, wanapenda demands za ajabu ajabu na pia hawamuamini mtu...