Wakaka wa JF...

Wakaka wa JF...

Hata sisi tunakupenda pia
Tunapenda kuvuta attention za men lakini wengi hatujajiunga kwa ajili hiyo.
Tuache mambo mengine yatokee bila kulazimisha.
Nawapenda wakaka wa jf sio wasumbufu.

he!hii kali!wadada wanapenda kusemeshwa njiani!avatar nzuri ili kudraw attention!wanapenda pm!basi wacha nijiite wiseman maana hizo sifa kwangu haziapply.

noted with thanks.....avatar yangu umeizimika?

We are told to let our light shine, and if it does, we won't need to tell anybody it does. Lighthouses don't fire cannons to call attention to their shining- they just shine. Dwight L. Moody

We are told to let our light shine, and if it does, we won't need to tell anybody it does. Lighthouses don't fire cannons to call attention to their shining- they just shine. Dwight L. Moody

Acha hizo, basi mimi naanza kuku PM leo. Nilikuwa nakufikiria siku nyingi nikawa nasita sita lakini leo naamua kufanya hivo.

Ya nini malumbano
Ya nini maneno
Najiweka pembeni
Naepuka msongamano
Bora nitulie
Ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie

Ya nini malumbano
Ya nini maneno
Najiweka pembeni
Naepuka msongamano
Bora nitulie
Ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie

Hebu shika talaka nenda

.. kny PM,in the end baada ya mazungumzo ya muda mrefu as you put it,mtu atajua kakupenda akukubalie au hajakupenda akukatalie,,,akikubalia na mkaenda kuonyeshana mauzoefu ni sawa,ni watu wawili wenye akili zenu mnajua mnachokifanya...ila pia akikukatalia ukadraw out interest ni sawa vile vile...life is like that...goes on,....hata huko mabarabarani tukitongozwa km hatujampenda mtu hatuexpect aendelee kututongoza....tunamove on expecting somebody else atatunotice na kututongoza...

jaman mbona mie moyo wangu unanituma kuwa huyu PAULINE NI JINSIA YA KIUME....sa sijui atanihakikishiaje ili nimuamini

jaman mbona mie moyo wangu unanituma kuwa huyu PAULINE NI JINSIA YA KIUME....sa sijui atanihakikishiaje ili nimuamini

hahahaha sina haja ya kukuhakishia wewe au mtu yeyote lolote,amini unachoamini....hata ukiamini Pauline ni kipaka tu kinatype JF lols,ni sawa!!! haunisumbui mie.....

Tutumieni PM...jamani....

yaani hamna kitu mwanamke anafurahi kama kusemeshwa na mwanaume njiani!...ndio maana tunavaa vizuri,vimini nk hii yote ni kuhakikisha tunakuwa 'NOTICED' na wakaka!!

Kwa kweli mkaka akikusemesha unajihisi sexy,wanted and complete kama mwanamke!...inatuongezea makonfidensi hadi rahaa!...

For the same reasons hapa JF tunatafuta avatar nzuuuri...kupata attention yenu!angalia avatar nyingi za wanawake ni zile za kuvutia!!

.....kumwambia mtu tu kny forum, avatar yake ni nzuri ,inatosha kumfanya ajihisi furaha ya kuwa amekuwa noticed ila ingependeza kama ungemtumia PM!!!!...this shows umekuwa really impressed,,,na hivyo kumfanya huyo dada ajihisi spesho zaidi...lols!

Kwa hio wakaka tutumieni PM please...najua mtaniuliza kwa nini tusianze sie kutuma lakini huu si utamaduni wa mwafrica!...ni shurti mwanaume akuanze atiii...kwanza tuna haya za kike....!LOLS

wadada ole wenu mniruke hapa kuwa hamtaki PM...hahaahahahaah

*note-sio lazima kila PM ilead mahusiano!!!

Nimeshaku-PM, furahi sasa.

Pauline,
hee mtoto wa kike!!
vipi leo!!???
Leo naona una mafikra ya kila aina...
Good luck..
Kwani jamaa yako vipi?? Ni Bubu? haongei? hakusifu?
au unakaribisha infidelity....utakutana na watu wana maneno asali... kama pelemende..

Tatizo wengine ukweli hampendi kusikia. Lakini habari ndio hiyo kaka Nonda.

Back
Top Bottom