Wakaka wa JF...

Sitasita kamwe kama Kuwa PM,kuwapongeza, kuwasifia ila naweza pongeza mtu kumbe mwanaume maana humu usipokuwa makini unaweza MP mwanaume mwenzio ukimwambia mdada umependeza.

hilo nalo neno,ila km ni mwanaume akaweka avatar ya kike huyo atakuwa na matatizo!!:redfaces::redfaces:
 
Kaka umeenda mbali....... ILA NAAMINI PRETA ATAFURAHI KWA HABARI HIYO NJEMA

Preta avatar yake huwaga inanisisimua. Kila nikiona jina lake moyo unaruka na kuanza kudunda. Huyo nimewania sana kumtongoza!
 
.... hapa kny forum ukimuonyesha mtu kuwa uko impressed naye ni vyema,ila ukitaka kumfanya afeel extra spesho M-PM!....goodluck naona wewe ni zaidi ya PM unataka lols
 
Preta avatar yake huwaga inanisisimua. Kila nikiona jina lake moyo unaruka na kuanza kudunda. Huyo nimewania sana kumtongoza!

hakyanani...sema kweli...basi naomba nikukaribishe nyumbani kabisa
 
Tatizo letu sisi wanaume na hasa waafrika, nikianza kukusemesha na ukakubali kuingia kwenye mazungumzo ya muda mrefu, mwisho wake ntaanza kuvutiwa na wewe. Matokeo yake mwisho wa siku ntakuomba "tukabadilishane uzoefu".

Hata kama ukikataa mara ya kwanza ntaweka king'ang'anizi mpaka ukubali. ukiweka msimamo nadraw out interest nabwaga manyanga! Lakini mara nyingi huwa mazungumzo yana isha vizuri kwa kila mtu kupata uzoefu wa mwenzake! Je, uko tayari kwa hilo?

.. kny PM,in the end baada ya mazungumzo ya muda mrefu as you put it,mtu atajua kakupenda akukubalie au hajakupenda akukatalie,,,akikubalia na mkaenda kuonyeshana mauzoefu ni sawa,ni watu wawili wenye akili zenu mnajua mnachokifanya...ila pia akikukatalia ukadraw out interest ni sawa vile vile...life is like that...goes on,....hata huko mabarabarani tukitongozwa km hatujampenda mtu hatuexpect aendelee kututongoza....tunamove on expecting somebody else atatunotice na kututongoza...
 
hapo kwenye maandishi meusi eti mauzoefu je kwasisi tusiokuwa wazoefu?
 
mweee....kweli leo umewaamulia...wape wape hao
 
hapo kwenye maandishi meusi eti mauzoefu je kwasisi tusiokuwa wazoefu?

zipu hujalala bado???unless alikuwa anamaanisha vingine nilivyoelewa kuonyeshana uzoefu ni kwenda kuduu na si vinginevyo,sasa hebu uniambie hujawahi kuduu??au umeelewaje???au ni mie ndio sielewi?:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Nonda mbona unataka kunisuta tena my dear?
hata ukiwa na mume,bado ukisemeshwa njiani utajisikia furaha...
inakupa impression,bado uko attractive,young and beutiful!...mumeo anaweza akakufanya ufeel hivi ila na mtu mwngine pia akikusemesha inakufanya ufeel extra special kwamba sio mumeo pekee anayekuona hivyo!!!...bichwa linapanda....na kuna raha yake atii:target::painkiller:
Pauline,

Cool down, mwanamama.. umeanza kwa kasi ya ajabu... wala sina nia ya kukusuta mwayaa!! Gonga basiii.
au umechukua kauli mbiu..kasi zaidi,ari zaidi, ........

Sawa wanaJF, poromosheni PM kwa Pauline apate kujisikia raha.. kwa nini tumyime raha, tuwe wakaarimu.
Wajameni mwenzetu anahitaji kusemeshwa ..tumsemeshe...
 
Back
Top Bottom