Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,051
- 653
Zena na wewe ndio hivyo? tujuane sasa
Afadhali yako wewe mwenzangu.
Afadhali yako wewe mwenzangu.
Tatizo haliko kwetu,tunapenda sana kuwatumia PM na hata kuwasemesha,ila tunachohofia ni ukali wenu,mkituahidi kupunguza ukali basi mambo yatakuwa mswano na nitaanza na wewe.
Ya nini malumbano
Ya nini maneno
Najiweka pembeni
Naepuka msongamano
Bora nitulie
Ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie
Hahahaaa mwe pauline umepatwa na nini mpenz? Unapenda kusemeshwa na jinsia me hawa wakishikwa na hamu hata mwendawazimu barabarani wanamuona ni miss tz akishamaliza haja yake ndio anagundua ala kumbe nimelala na mwendawazimu? So be careful my sis ingawa na mimi naanza kuhis waweza kuwa ni he wewe mwe
Hao wanaume unaowazungumzia na babu ndani yake.
lol......unalipa?Kwa kweli mkaka akikusemesha unajihisi sexy,wanted and complete kama mwanamke!...inatuongezea makonfidensi hadi rahaa!...
Mh....!! Kujiamini? Kujiamini kulikwisha siku nimefunga safari kwenda kutongoza kufika huko nikatolewa mbio na mawe.
Asante kwa kunyonyoa kuku manyoya....kwani lazima utamla......!!Tutumieni PM...jamani....
yaani hamna kitu mwanamke anafurahi kama kusemeshwa na mwanaume njiani!...ndio maana tunavaa vizuri,vimini nk hii yote ni kuhakikisha tunakuwa 'NOTICED' na wakaka!!
Kwa kweli mkaka akikusemesha unajihisi sexy,wanted and complete kama mwanamke!...inatuongezea makonfidensi hadi rahaa!...
For the same reasons hapa JF tunatafuta avatar nzuuuri...kupata attention yenu!angalia avatar nyingi za wanawake ni zile za kuvutia!!
.....kumwambia mtu tu kny forum, avatar yake ni nzuri ,inatosha kumfanya ajihisi furaha ya kuwa amekuwa noticed ila ingependeza kama ungemtumia PM!!!!...this shows umekuwa really impressed,,,na hivyo kumfanya huyo dada ajihisi spesho zaidi...lols!
Kwa hio wakaka tutumieni PM please...najua mtaniuliza kwa nini tusianze sie kutuma lakini huu si utamaduni wa mwafrica!...ni shurti mwanaume akuanze atiii...kwanza tuna haya za kike....!LOLS
wadada ole wenu mniruke hapa kuwa hamtaki PM...hahaahahahaah
*note-sio lazima kila PM ilead mahusiano!!!
:rofl::rofl::target:
hilo ndo neno....mie wala sikup PM nataka vituz kabisa
asiiiiiiiiiiiiiii
Staili mupya ya kutanga NIA au...?Tutumieni PM...jamani....
yaani hamna kitu mwanamke anafurahi kama kusemeshwa na mwanaume njiani!...ndio maana tunavaa vizuri,vimini nk hii yote ni kuhakikisha tunakuwa 'NOTICED' na wakaka!!
Kwa kweli mkaka akikusemesha unajihisi sexy,wanted and complete kama mwanamke!...inatuongezea makonfidensi hadi rahaa!...
For the same reasons hapa JF tunatafuta avatar nzuuuri...kupata attention yenu!angalia avatar nyingi za wanawake ni zile za kuvutia!!
.....kumwambia mtu tu kny forum, avatar yake ni nzuri ,inatosha kumfanya ajihisi furaha ya kuwa amekuwa noticed ila ingependeza kama ungemtumia PM!!!!...this shows umekuwa really impressed,,,na hivyo kumfanya huyo dada ajihisi spesho zaidi...lols!
Kwa hio wakaka tutumieni PM please...najua mtaniuliza kwa nini tusianze sie kutuma lakini huu si utamaduni wa mwafrica!...ni shurti mwanaume akuanze atiii...kwanza tuna haya za kike....!LOLS
wadada ole wenu mniruke hapa kuwa hamtaki PM...hahaahahahaah
*note-sio lazima kila PM ilead mahusiano!!!
:rofl::rofl::target:
LETS TURN THE TABLE...CAN U PM ME SWEET LADY....ray2:Tutumieni PM...jamani....