Utatafta hela, utazipata na utachapiwa vile vile.
Principle yangu ni moja tu. Tokea nizaliwe sijawahi date seriously mwanamke ambaye family background yao ya kif*la f*la...yan ukute dem mzuri lakini kwao choka...NEVER, utajuta na kulia sanaa ndugu.
Kuna mwanamke nliwahi kua nae....yuko poa sanaa, msomi, good family backgrounds alitokea kunielewa mnoo nd was very loyal & true to me na kibaba nlikua kawaida tu bado sijaeleweka mjini hapa....kwa sabab flan za distance uhusiano ukafifia na kuisha but we still talk.
If you pick the right material, Hela si chochote kwa mtu anayejielewa muhimu ni nidhamu ya maisha, kujitambua na juhudi basi.