sio kigezo veepe? huoni.akina Mzee IPP.anakula kitu roho inapenda?.au ma model wa ulaya unadhani wanaolewa na kapuku? au hapa hapa Bongo ushaona miss Tanzania/universe/tourism ana hangaika na madogo wasio na hela? Wema katoa mimba ya yule baby boy unafikiri kwanini? MAWE ndio mpango mzima.Ok! Ok! Ok! Tutatafuta pesa..Lakini pesa sio kigezo cha kumpata mwanamke mzuri Bro!!...
Kwa hiyo tutafute pesa tukaoe masuperstar eee hao ni wakupiga brush za kutosha then inabaki story tu najua hatutafika nae mbalisio kigezo veepe? huoni.akina Mzee IPP.anakula kitu roho inapenda?.au ma model wa ulaya unadhani wanaolewa na kapuku? au hapa hapa Bongo ushaona miss Tanzania/universe/tourism ana hangaika na madogo wasio na hela? Wema katoa mimba ya yule baby boy unafikiri kwanini? MAWE ndio mpango mzima.
Hayo ni majaariwa.huo ni ugonjwa hata lofa anawezapata.na akashindwa majukumu yake ya unyumba.lkn kijana ukikosa hela na ndoa inavurugika laivu.Nilimuuliza mke mmoja wa tajiri sasa wewe kwa nini unataka kutembea nje ya ndoa yako...Akaniambia jamaa ana kisukari ana presha so game apigi kabisa manuu sasa mi nifanyaje, We ungemjibuje? Huyo jamaa anakila kitu magari, majumba, na miradi mikubwa tu na mke wake ni director kwenye hiyo miradi yao...
Ooh yesyap.waache kulalamikia mizinga....[emoji3]
Kumbe Mimba ilitolewa eeenh,aisee Nifah umeinyaka hii???sio kigezo veepe? huoni.akina Mzee IPP.anakula kitu roho inapenda?.au ma model wa ulaya unadhani wanaolewa na kapuku? au hapa hapa Bongo ushaona miss Tanzania/universe/tourism ana hangaika na madogo wasio na hela? Wema katoa mimba ya yule baby boy unafikiri kwanini? MAWE ndio mpango mzima.